Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,726
Kwani Korogwe na Handeni siyo Tanga? Na kama ni Tanga, swali langu lipo pale pale: "Kwani Wasambaa wengine wanatoka wapi?"...Kuna wasambaa wa kufoji kibao kule Korogwe (tamka 'Koh'ogwe') na pale Handeni.
Siku zote nilikuwa najua wewe mnyaki kumbe msambaa wa Lushoto ama kweli Tanga raha ngoja nikufuate piemu nithibitishe kauli mbiuJamna mm sio mnyaki,mbona nimesema mm msambaa
😂😂😂😂😂😂Siku zote nilikuwa najua wewe mnyaki kumbe msambaa wa Lushoto ama kweli Tanga raha ngoja nikufuate piemu nithibitishe kauli mbiu
Yaani kijijini raha sana.Madame umenikumbusha mbogamboga za lushoto, ukiacha mbwembwe kuna nyingine inaitwa mwingereza ni tamu balaa
Asante mpenzi.Hongera😘😘😘😘
Ni Tanga ila Wasambaa original yao ni Lushoto (Wilayani)Kwani Korogwe na Handeni siyo Tanga? Na kama ni Tanga, swali langu lipo pale pale: "Kwani Wasambaa wengine wanatoka wapi?"...
Kabisa,njaa tunazisikia kwa majirani tuAsante mpenzi.
Nyumbani raha sana.
Mboga za majani zinajiotea mpaka barazani
Swadaktaaaaa!!!!!Kabisa,njaa tunazisikia kwa majirani tu
😀😀😀 kuna eneo Shinyanga linaitwa Mascat, Waarabu wamejazana hapo balaa...Ni Tanga ila Wasambaa original yao ni Lushoto (Wilayani)
Ni kama waarabu walivyojazana Tabora, kwani pale Dubai?
Nimeoa huko
Kuna wasambaa wa kufoji kibao kule Korogwe (tamka 'Koh'ogwe') na pale Handeni.
Jamna mm sio mnyaki,mbona nimesema mm msambaa
kweli mila zinatofautiana, umewezaje kuingia jikoni kwa Mama mkwe !!! Kwa mila nyingine, hapo tayari ungekuwa umekosa mke.Ukweni huku, Mama Mkwe anaandaa msosi View attachment 925864
HahahahahahaMbona jina halianzi na "She...."
jamn wasambaaa mpo,jmn nimekumbuka kwe2Najivunia kuwa msambaa kutoka Tanga
we acha tu baikokoVIPI MADEMU WA PALE MAJANI MAPANA KWA SELEBOSI?AISEE NIMEIMISI BAIKOKO
Hahahahahaha