Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

Na Yale malori kuna dereva mmoja anamaind hamjamlipa fedha zake zote aisee jaman fan yen haraka alafu waale watu mliowabeba Moro wanasema inakuwajee mbna hamjawapa buku tano tano za kunywea maji njiani
 
Mwenyekiti kasema picha za kutengeneza eti tunachukua za slaa tuna muwekea lowassa ili ionekane kajaza watu wengi...

Jamaa kwa hiyo anakubali kuwa hata Slaa alikuwa tishio kwake. Mswahili yule kwa kweli anatuacha hoi kabisa. Ndio taabu ya kutosikiliza ushauri wa washauri waliosomea kazi ya kushauri na kufwata ushauri wa mama mwl wa Upe na mtoto failure.
 
Embu tazama ata kwa muonekano tu.overview ya ukawa imechukuliwa kwa ukalibu zaid huwez linganisha ya ccm.so lazima ya ukawa itaonekana watu kibao
 
Hahaaa
 
Attachments

  • 1440363090691.jpg
    1440363090691.jpg
    29.4 KB · Views: 145
Uwanja Wa furahisha ni mdogo sana huwezi kuufananisha na uwanja Wa jangwani,jaribu kuuliza kwa yeyote anayeufaham

Watu wengine mnapeta kubishana kwa kuwa kazi ya kubisha siyo ngumu.yaani we huoni umati wa c.c.m wengi wamekaa kwenye viti.sasa jiulize aliyekaa na aliyesimama nan anachukua nafasi kubwa
 
Watu wengine mnapeta kubishana kwa kuwa kazi ya kubisha siyo ngumu.yaani we huoni umati wa c.c.m wengi wamekaa kwenye viti.sasa jiulize aliyekaa na aliyesimama nan anachukua nafasi kubwa

Uwanja Wa jangwani ni Mara nne ya uwanja wa furahisha ni furahisha, ndio maana hata ukiangalia kwa makini utaona PICHA moja imechukuliwa kwa mbali zaidi ya nyingine,hatubishan ila ukwel ndio huo,hiyo inanaana udadi ya kujaza watu furahisha haiwez kuwa sawa na idadi ya kujaza jangwani,timu nyumbu acheni mahaba ajabu ajabu
 
Mtahangaika sana mwaka huu.nendeni mkaongeze matusi mengine labda yatawasaidia.mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi.subiri sasa moto unakuja
 
Wadau picha inayoonesha mwonekano Wa juu(overview) ya Ukawa wakati Wa kumtambulisha mgombea wao Mwanza jiji la pili na picha ya CCM ufunguzi Wa kampeni jagwani yap ni maoni yako.

View attachment 279615

Hiyo picha chini siyo Jangwani hapo bali ni Brazil kwenye sherehe za ufunguzi wa kombe la dunia.

Ukitanua hiyo picha utaona sakafu chini.

Tafakari...
 
Tunaomba ccm wafanye mkutano wa kisiasa na sio hii fiesta alafu.ndio tuje tupambanishe picha
 
Hamna sera sasa hizo picha zina maana gani. Watanzania wanataka sera na utekelezaji wake. Hizo picha peleka ukawa
 
Jangwani mojaaa
 
Attachments

  • 1440428766095.jpg
    1440428766095.jpg
    44.7 KB · Views: 214
Wadau picha inayoonesha mwonekano Wa juu(overview) ya Ukawa wakati Wa kumtambulisha mgombea wao Mwanza jiji la pili na picha ya CCM ufunguzi Wa kampeni jagwani yap ni maoni yako.

View attachment 279615

Kama si utofauti wa angle, Chama cha mapinduzi wangeachwa mbali mno. Angle imesaidia wao kuonekana. Kama shot ya CCM ingepigwa at the same angle na ile ya Mwanza, CCM wasingeonekana. Ni uchambuzi tu. Na pengine si fair kushindanisha picha mbili hizi. Angle ni muhimu sana unapoweka mkabala picha 2 kama hizi.
 
Kama unaleta hoja za kipumbavu basi ni mpumbavu tu hakuna namna nyingine..

Rohombaya;
Kweli roho yako ni mbaya kabisa. Weye unaunga mkono rais kuwatukana watu alio waongoza kuwa ni wapumbavu?? Hii inakaaje jamani?? Angalieni, mahaba yenu na ccm yasiwapofushe hata macho na masikio.
Inamaana kuwa aliongoza mazuzu tena mazezeta?? Acheni jamani kumfanya mzee wa watu azidi kujishuhsia heshima yake.
Tunampenda na tungeomba asiyatoe mapenzi yetu kwake kihivyo. Nimeanza kumwona wa ki hooo.viooo kabisa. Aweke speed gavana mdomoni haswa anapojua kuwa kila neno lake lina nguvu flani. Awaachie kina Makongoro mlevi
 
Back
Top Bottom