Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

Haiwezekani magazeti na media zingine zitengeneze picha feki ya ukawa, muzeee umedanganywa
achana naye aendelee kulala,akiamka anamkuta lowassa kasimama pembeni yake akiwa na maafisa wapya wa ikulu,anataka funguo za ikulu akaanze kazi,hapo ndo atajua athari ya hizo anazoita fotoshop!!
 
Leo jangwani aibu watu wa kuhesabu wamepanga viti ili watu waonekane wengi hawaoni hata aibu ila ujanja wao wa kizamani ule
 
Wewe utakuwa hukusoma Geography au utakuwa ulifeli mtihani.

Angalia umbali wa picha ya UKAWA na ya CCM kutoka juu. Picha ya CCM watu Kama mchanga na ya UKAWA watu ni wakubwa. Pole kwa kufeli Geography.

Queen Esther

Wadau picha inayoonesha mwonekano Wa juu(overview) ya Ukawa wakati Wa kumtambulisha mgombea wao Mwanza jiji la pili na picha ya CCM ufunguzi Wa kampeni jagwani yap ni maoni yako.

View attachment 279615
 
Nyomi la Mwanza ni balaa!Nilipatwa na Taswira moja tu kwamba kweli hawa watu wana mapenzi ya dhati,kwa sababu hawakusombwa na malori walikuja wenyewe ,wengine walikesha wakimsubiri wengine walikesha wakimlinda hotelini!mtu ama chama cha namna h iyo hakika kiko mioyoni mwa watu na hakuna matusi wala dhihaka wala vitisho vitakavyobadili hiyo hali,tusubiri Oct 25,wasipotumia bao la mkono basi wajiandae kubeba virago!
 
UKAWA wako juuuuu.....

Mbona jangwani sio mafuriko.... ni wa kawaida tu...

Malori mpaka ya ng'ombe na mkaa, daladala zote Dar zilitumika kuwaleta watu hao wa CCM leo jangwani.... ila haikuwa mafuriko...

Subiria sasa UKAWA ufunguzi wake wa kampeni mtashangaaa....!!
 
Unataka kuniambia hadi Mkapa alikuwepo kutoa vijembe hayo makubwa!


Si kutoa vijembe bali ni kuwatukana wote walio upinzani kuwa ni wapumbavu. Sidhani ka hicho ni kijembe haswa neno hilo linapotoka mdomoni kwa rais mstaafu.
 
Mabishoronga walienda kutafuta madem Leo,wapiga kura wanakeshà kuanzia kwenye compaigne mpaka vituo vya kujiandikishia kupiga kura
 
Huwezi linganisha picha za miji tofauti kwani inaidadi tofauti ya wakazi.
Ungelinganisha picha ya magufuli mwanza na lowasa mwanza au mkutano wa lowasa dar na magufuli dar
Khaa!! Rais hawekwi kwa wingi wa watu wanamsikiliza ana kwa ana katika karne hii ya teknologia. Wangapi wanamsikiliza kupitia njia mbalimbali za kiteknilojia? Rais huwekwa baada ya kushinda KURA. Ndiyo maana BM kawaita wapu m bavu na wanalithibitisha hilo..
 
Umbali wa picha zilizopigwa zinatofautiana hata hivyo iliyopo upande wa chadema haioneshi watu walipoishia kwa 7bu ya wingi wa watu na ukaribu kutoka juu ila ya ccm imepigwa toka umbali mrefu toka juu na chini kunaonekana mwisho wa watu walipoishia.huo ndo uhalisia.
 
Si kutoa vijembe bali ni kuwatukana wote walio upinzani kuwa ni wapumbavu. Sidhani ka hicho ni kijembe haswa neno hilo linapotoka mdomoni kwa rais mstaafu.

Amepanic na kuhofia labda yale mauaji ya Zenj akiwa Raisi yanaweza kufukuliwa mzee wa watu akasotea ICC!

 
Si kutoa vijembe bali ni kuwatukana wote walio upinzani kuwa ni wapumbavu. Sidhani ka hicho ni kijembe haswa neno hilo linapotoka mdomoni kwa rais mstaafu.
Kama unaleta hoja za kipumbavu basi ni mpumbavu tu hakuna namna nyingine..
 
Kaka huku ukawa mambo yashaiva sumaye kaja imarisha upinzani .lazima ccm watapetape sana hata raisi wao kashindwa jenga hoja za ccm na kujadili wagombea WA ukawa .Lowasa nyota inawaka ya jangwani Leo ni Fiesta ya cloud FM kwa kushirikiana na Ccm
 
Hiyo ya UKawa ni nomaaa naje uzinduzi itakuwaje?tunaomba vyombo vya usalama na Huduma za kwanza maana hapatoshi watu watazimia jiji kwa miji na vijijini vyote ktk jmt kutazizima ccm waache kulialia
 
Back
Top Bottom