Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

Wala malori hayakusomba watu kama magunia hii ni hatari sana ccm wanajizalilisha !
Ukawa ni ni engine nyingine ukawa wafanye siku ya juma pili kama leo ila watuwekeye spika adi huuku ubungo maana tutajaa maana ukawa ni jeshi kubwa!
 
Hicho kijigrupu cha magamba ni sababu watoto wa kike wasio na kazi wala mwelekeo walikuja kumuona kipenzi chao Diamond na wengine walikuwa wanawaonea gere ng'ombe kupanda mafuso. Wathubutu kwenda kavu kavu bila kugawa buku 2 kwa wajumbe wa nyumba kumi ambao wengi wao ni wauza njugu na kahawa.
 
Wakuu hiyo picha ya ccm ni picha ya mashabiki wa kombe la dunia brazil
 
ukawa walipaswa wasifungulie kampeni Dar es salaam
ilifaa wachague kati ya nyanda za juu kusini au kanda ya ziwa
afu uje uone shughuli pevu

Ili iweje? Nilitegemea au nadhani hizi picha zingekuwa za tukio la aina moja na liwe limefanyika eneo moja, mfano tungepata picha nzuri iwapo ukawa nao wangefanya uzinduzi jangwani au wasubiri Magufuli aende uwanja wa furahisha kirumba
 
mwanza funiko bovu we mpaka maccm hayaamini wanadai photoshop hata raisi wao ameonyesha upungufu mkubwa kwa hilo
 
Mwanza awakusombwa na fuso 2 akukuwa na wasanii. Kubali ukatae ccm autakaa uone tena mkusanyiko Kama hilo alafu ukawa atujazindua kampeni bado. Atutasomba watu / atutachukua wasanii lkn subiri muone moto wake.

upo sawa kabisa mkuu...pia hakukuwa na maraisi wastaafu
 
Nasikia leo kwenye ufunguzi wa kampeni jangwani, kuna watu wametoka mtwara na rufiji wameletwa na EICHER za kukodi?
 
kkkkkkkk ccm kweli mnaota mchana kweupe

NDIO maana BEN kawambia nyie ni wapumbavu ,malofa maana hizo picha zimechukukiwa katika mfumu miwili tofaut ,ya kwanza ni oblique ,na hiyo ya CCM NI AERAL ,NDIO MAANA HIYO YA KWANZA UNAWEZA KUWAONA WATU KABISA KWA UHALISIA WAO sasa sijui ni kwa nin tulinganishe hizo picha
 
Watu wanasema Mbowe kafanikiwa kuwakutanisha Lowasa na Sumaye. Magufuli kafanikiwa kuwakutanisha Wema na Diamonds
 
  • Thanks
Reactions: bht
wadau picha inayoonesha mwonekano wa juu(overview) ya ukawa wakati wa kumtambulisha mgombea wao mwanza jiji la pili na picha ya ccm ufunguzi wa kampeni jagwani yap ni maoni yako.

View attachment 279615

picha ya ccm imepigwa kisanii: Wamepiga vertical ili kuepuka kuonyesha sehemu ya mbali na ili watu waonekane wadogo wadogo ili watuhadae kuwa ni mafuriko tena eti kuliko ya ukawa. Angalia ya ukawa ni aerial, inaonesha kuanzia mwanzo mpaka mbali sana. Kwa ufupi picha ya ccm imepigwa kipropaganda
 
Wasukuma wakipenda wamependa. Wakichukia wamechukia. Sasa wameipenda UKAWA na kuichukia ccm.
 
ImageUploadedByJamiiForums1440357297.360634.jpg
 
Mdau kura zitaamua acha mikutano iendelee, maana mikutano yote at least mashabiki wa vyama vyote wanahudhuria, kura ya macho ni ngumu, wengine wanahudhuria just kuwaona hao viongozi wanao taka mamlaka wasikie wanasema nini but not necessarily mashabiki wao.
 
Huwezi linganisha picha za miji tofauti kwani inaidadi tofauti ya wakazi.
Ungelinganisha picha ya magufuli mwanza na lowasa mwanza au mkutano wa lowasa dar na magufuli dar

Kweli!
 
Back
Top Bottom