Njaa Mbaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 178
Hapo mkutano wa ccm watu wamesombwa na uda toka alfajiri hakuna kitu mwaka huu ccm ni kichapo tu hakuna jipya, mgombea anarudia ahadi za kikwete ambazo hazikutekelezwa
Ndiyo,watu walikuwa wamekaa mbali mbali kwenye viti,ndiyo maana machinga walikuwa wanakatiza kati yao bila tabu,pia kulikuwa na makundi matatu,kila moja likitengwa na barabara katikati,ila hii picha haionyeshi barabara mbili zilizokuwa zimekatiza uwanjani,jumlisha diamonde na wenzie,jumlisha uwepo wa marais WOTE wastaafu,jumlisha Rais wa jmt!!! Kale kaumati ni kadogo jamani,tusijipe moyo.Ukiiangalianvema picha ya jangwani Kama Ina patches
Ukiangalia ya CCM imepigwa juu sana na huwezi ona mtu amesimama, ya Ukawa imepigwa karibu thats why unaona watu wamesimama, so tumia akili kujua wapi wengiWadau picha inayoonesha mwonekano Wa juu(overview) ya Ukawa wakati Wa kumtambulisha mgombea wao Mwanza jiji la pili na picha ya CCM ufunguzi Wa kampeni jagwani yap ni maoni yako.
View attachment 279615
Kule Mwanza UKAWA walialika wanamuziki gani?
Mwanza ilikuwa zaidi. Watu walilala uwanjani kusubiri. wengine walijituma kudeki barabara. Hakukuwa na malori!!!!
Wadau picha inayoonesha mwonekano Wa juu(overview) ya Ukawa wakati Wa kumtambulisha mgombea wao Mwanza jiji la pili na picha ya CCM ufunguzi Wa kampeni jagwani yap ni maoni yako.
View attachment 279615
Mwenyekiti wao anasema ninyi UKAWA mnafanya pichaduka! ha ha ha ha akili za kimbayuwayu