Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

Haiwezekani Rais WA nchi atuletee ubaguzi WA kua eti wanawake ndio wapiga kura kubwa.eti wamchague samia mwenyewe hata kuongea jukwani bado
 
Mwanza ilikuwa zaidi. Watu walilala uwanjani kusubiri. wengine walijituma kudeki barabara. Hakukuwa na malori!!!!

si waliandaliwa viroba na wenje wale machangu wa pale furahisha yaan ni sawa na kushangaa watu kukesha Ambiance Sinza wakat wapo kazin
 
Huwezi linganisha picha za miji tofauti kwani inaidadi tofauti ya wakazi.
Ungelinganisha picha ya magufuli mwanza na lowasa mwanza au mkutano wa lowasa dar na magufuli dar

Utumbo gani huu unaongea?Hv dar na mwanza wapi kuna watu wengi.
 
  • Thanks
Reactions: bht
Amepanic na kuhofia labda yale mauaji ya Zenj akiwa Raisi yanaweza kufukuliwa mzee wa watu akasotea ICC!

Kweli nimeshangazwa sanaa na matusi ya mkapa kutukana hadharani tena akiwa live ktk media...huo ni uchochezi na siasa mfu...sasa upinzani ukijibu mapingo kwa matusi atasema anaonewa...?? Nadhani watu wa ICC wapo wanatazama nani ndo mleta uchochezi....
 
Mwanza awakusombwa na fuso 2 akukuwa na wasanii. Kubali ukatae ccm autakaa uone tena mkusanyiko Kama hilo alafu ukawa atujazindua kampeni bado. Atutasomba watu / atutachukua wasanii lkn subiri muone moto wake.
 
Wadau picha inayoonesha mwonekano Wa juu(overview) ya Ukawa wakati Wa kumtambulisha mgombea wao Mwanza jiji la pili na picha ya CCM ufunguzi Wa kampeni jagwani yap ni maoni yako.

View attachment 279615

Tumia hesabu mwanza wamejikusanya sehemu ndogo.Na Dar ni sehemu kubwa. Pia suala la "uongozi wa kutoka sehemu moja".Tanzania ni kubwa zaidi ya upande wa "
 
Kweli nimeshangazwa sanaa na matusi ya mkapa kutukana hadharani tena akiwa live ktk media...huo ni uchochezi na siasa mfu...sasa upinzani ukijibu mapingo kwa matusi atasema anaonewa...?? Nadhani watu wa ICC wapo wanatazama nani ndo mleta uchochezi....

Kwani wewe una chama kinachodanganya kuwa ni ukombozi?Chama cha ukombozi ni ccm tu?shida nini?
 
Jangwani, Wameenda Kuwaangalia Wasanii Diamond, Bushoke Na Msanii Wao Mkubwa (JK) .
Alafu Hao Wasanii Wanaojibebisha Kwa CCM Wasubiri Tukichukua Nchi Tutawafunga Kama Babu Seya..
 
Mie ninavyojua Lowassa hugharamia watu kusafiri kutoka mikoa mbalimbali kwa mabasi.

Bahati mbaya CCM husafirisha watu kutoka eneo husika na UKAWA watu husafirishwa kutoka mikoa mbalimbali. Ushahidi tuliuona hapa Mwanza. Kwenye hii guest ninayofanyia kazi walikuja kulala watu wa kutoka mikoa ya Geita, Kagera, Shinyanga,Tabora, Simiyu na Kigoma.

Tuwe wakweli. Mafuriko ya UKAWA ni maigizo tu.
 
Huwezi linganisha picha za miji tofauti kwani inaidadi tofauti ya wakazi.
Ungelinganisha picha ya magufuli mwanza na lowasa mwanza au mkutano wa lowasa dar na magufuli dar

Ishhhh! We vp ndugu yangu kwani 5 ya Dar Mwanza ni 3? Mbona inaonesha wazi watu wa Mwanza ni wengi kuliko wa Jangwani! Occasion doesnt matter! Nilitegemea watu wawe wengi sana Jangwani!
 
Ishhhh! We vp ndugu yangu kwani 5 ya Dar Mwanza ni 3? Mbona inaonesha wazi watu wa Mwanza ni wengi kuliko wa Jangwani! Occasion doesnt matter! Nilitegemea watu wawe wengi sana Jangwani!

Kanuni za comparative analysis zinahitaji ufanye ulinganyo wa maeneo na matukio yanayoendana.
Hii ya Dar mwanza ni chaka.
Matukio tofauti na sehemu tofauti.
Rejea waliolinganisha uchukuaji fomu wa magufuli na lowasa hiyo ndo comparative analysis.
Mategemeo yako yamekuangusha.
Pole kwa kuwa matamanio yako kutotimia
 
Mwanza ilikuwa zaidi. Watu walilala uwanjani kusubiri. wengine walijituma kudeki barabara. Hakukuwa na malori!!!!

Unazungumzia wale wanywa viroba wa bodaboda? Huwezi deki barabara kama una akili timamu
 
Back
Top Bottom