Richman Morenje
Member
- Jul 15, 2013
- 19
- 5
ukawa juu...hiyo mikijan inang'ang'a....kumbe hamna watu....ukawa mwanzavutitiri wa watu
Kama ni ivo basi wa magufuli dar wangekuwa wengi ukilinganisha na wa lowasa mwanzaHuwezi linganisha picha za miji tofauti kwani inaidadi tofauti ya wakazi.
Ungelinganisha picha ya magufuli mwanza na lowasa mwanza au mkutano wa lowasa dar na magufuli dar
Wadau picha inayoonesha mwonekano Wa juu(overview) ya Ukawa wakati Wa kumtambulisha mgombea wao Mwanza jiji la pili na picha ya CCM ufunguzi Wa kampeni jagwani yap ni maoni yako.
View attachment 279615
Kwa kuwa Uwanja wa taifa tumenyimwa, basi tufungulie hapo hapo Jangwani. Viti ni kwenye jukwaa tu wala kwingine hatutaki hata mtu aje na chake. ccm walisomba watu kutoka Kisarawe na Rufiji mpaka Bagamoyo na Chalinze.
Tunataka watu wa Darisalama tu tuuone mkutano. Matusi ya mzee Mkapa ayameze mwenyewe ka mate yake
Overview ya Dar inatia mashaka. Resolution is not right.
ukawa picha zenu za kutengeneza.Wapumbavu wadanganyika by mkapa