Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,916
- 11,249
Hata waganda huvutanaga tangia watoto na kuwa virefu pia sana tuHaya ni mambo ya ndani sana na ni siri za makabila, kama ilivyo kwa Wamasai, Wambulu, Singida na Dodoma bado wanatohara kwa wanawake mpaka kesho but no one can admit na inapotokea ukagusa na kukuta hamna kitu, mhusika atakuambia amezaliwa hivyo hivyo, hivyo, sitegemei Muhaya yoyote kujitokeza kuseecondment hoja ya kukivutavuta ila ni kweli ya kushuhudia sio kuhadithiwa.