Picha ya Mtu Mwenye Jinsia ya Kike na Kiume: Maswali Magumu kwa JF Doctor | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha ya Mtu Mwenye Jinsia ya Kike na Kiume: Maswali Magumu kwa JF Doctor

Discussion in 'JF Doctor' started by Allien, Dec 27, 2008.

 1. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Moderator;

  Kwanza naomba muongozo kama kuweka picha ya jinsia mbili inakubalika. Kama inakubalika tafadhali nijulishe niweze kuipost.

  (Baada ya go ahead kutolewa):
  [​IMG]

  Lengo la kuweka picha hii kama itakubalika ni kufanya wasioamini kuwa kuna watu wenye jinsia mbili waamini.

  Baada ya hayo sasa napenda kupata majibu kutoka kwa Doctor wa JF. Nina jamaa yangiu wa karibu ambaye ana mtoto mwenye Jinsia mbili na ilibidi apelekwe South Africa, ili kumuondoa Jinsia moja abaki na moja ingawa sijui ni ipi.

  Pia niliwahi kusoma katika Gazeti kuwa kuna Dada moja huko Temeke alimtia mimba binti fulani huko huko temeke na kisha akatoroka. Wanaomfahamu yule mtia mimba toka akiwa kidogo, walikuja kushuhudia kuwa Dada huyo alikuwa na Jinsia mbili.

  Sasa maswali magumu:

  - Je mtu kuzaliwa na Jinsia Mbili inasababishwa na nini?

  - Kisheria binadamu anatakiwa awe wa kike au wa kiume, je huyo katika cheti cha kuzaliwa au cha ndoa atakuwa na jinsia gani?

  - Je jinsia hii inaweza kujitosheleza kimapenzi?- Je, kama anaweza akaondolewa jinsia moja, hii inafanyika vipi kwa lugha nyepesi.

  - Je mwenendo na tabia yake inakuwa ya kike au ya kiume?

  - Je kuna chances gani kwa mtoto wa namna hiyo kuzaliwa na ni katika mazingira gani.

  - Nini maoni ya kitaalamu kwa wanajamii kwa watoto au watu wa jinsia hii?

  [​IMG]
   

  Attached Files:

  Last edited: Jan 9, 2009
 2. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mod;

  Nimeiopost picha ya mtu wa Jinsia mbili. Kama kuna maelekezo tofauti naomba utanijulisha.

  JF Doctor . . . the ball is in your court now!
   
 3. M

  Mama JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  The common pathway of sexual differentiation, where a productive human female has an XX chromosome pair, and a productive male has an XY pair, is relevant to the development of intersexed conditions. Nevertheless some scientists suggest that the biology of gender is far more than the XX and XY chromosomes inculding criteria such as 5 - alpha reductase deficiency, gonadal dysgenesis, androgen insensitivity etc.

  General information can be found here
   
 4. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mama;

  Nimeona link uliyotoa hapo juu, hata hivyo bado maelezo yanachanganya. Unaweza ukatusaidia kwa lugha rahisi? NB: Photo attached now . . .
   
 5. M

  Mama JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Umeshasoma mara hii ? haya umeelewa nini ili nijaribu kukuelewesha zaidi ingawa mimi si mtaalam wa mambo hayo bali nitajitahidi kwa mujibu wa nilivyoelewa kutoka kwenye mabandiko ninayosoma. By the way kuna madaktari humu.
   
 6. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Here is a summary from:

   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,598
  Likes Received: 18,603
  Trophy Points: 280
  Nachangia tuu wakati tukiendelea kusubiri majibu ya JF Doctor.
  Watu hawa wapo katika jamii yetu na hiyo hali ni genetic disorder kama ulemavu mwingine wowote wa kuzaliwa na wengi inabakia kuwa siri ya familia.

  Hutokea wakati wa kuumbika mtoto baada ya fertilization ambapo hatua za awali za embryo watu wote hufanana ba kadri
  Kiumbe kinavyoendelea kukua ndipo yale maumbile hufuata mkondo wa kike au kiume na hatimaye huzaliwa mtoto wa kike au wakiume.
  Kuzaliwa na jinsia mbili hutokea pale ambapo jinsia zote mbili zimekuwa sambamba bila moja kufutika. Watoto wengi tuu huzaliwa na jinsia mbili ila marangi jinsia moja hufutika kadri anavyokuwa na huishia kubakiwa na jinsia moja.
  Uamuzi ni jinsia gani inabaki unakuwa determined na hormone balance ya huyo mwenye jinsia mbili. Kama hormones za kike zimedorminate, anakuwa mwanamke na jinsia ya kiume inabaki tuu kama umbo, vivyo hivyo hormone za kiume zikizidi, anakuwa mwanaume na ile jinsia ya kike inabaki kama zuga tuu.
  Bado sijasikia mtu wa jinsia mbili aakawa na seti mbili za hormone yaani akazitumia sehemu zote mbili sawasawa.
  Huku kuzaliwa na jinsa mbili ni sawa na kuna wanawake wanazaaliwa na jinsia ya kike lakini homone za kiume, annaishia kuwa dume jike na hitimaye msagaji.
  Kunawaume wamezaliwa na jinsia ya kiume lakini hormone za kike, utamuona anafanya mambo ya kikekike company yake mademu na ikitokea akapigwa back, hugundua huko ndiko starehe yake ilipo na hatimaye hugeuka chakula.
  Wanaume wa aina hii ni wengi kwenye familia zetu lakini wengi wanaficha inabaki kuwa siri ya familia, wale wanaoshindwa kuvumilia ndio hao wanaojitokeza wazi kuvaa nguo za kike na kukubali majina ya Anti na ushoga ju yake.
  Kuzaliwa na hormone za kike au kiume ni jambo moja na tabia ya ushoga ni jambo jingine ndio maana watetezi wa haki za binaadamu wanapigania haki ya freedom of expression ya hormone ulizozaliwa nazo hivyo mashoga ni wakuhurumiwa kama vilema wengine.
  Kuna jamii ya Wahaya, hukivuta vuta clitoris-ya watoto wakike toka wadogo hivyo kinarefuka usawa wa kidole. Niliwahi kukutana na dada mmoja nikamuona hiyo kuvutwa kumezidi mpaka imekuwa kama jinsia ya kiume. Kwenye shughuli pia inasimama kuelekea kuziba usipite kwa urahisi. Kusema kweli huyo dada hakuchukua muda kufika kileleni. Ndipo nikagundua kwa nini Wahaya wavuta na mume wa mtu akifanya kosa kuwapitia . Anahama nyumbani kwake na kuhamia huko huku akiacha simulizi 'Wahaya si mchezo..'.
   
 8. M

  Mama JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Mtu kuzaliwa na viungo vya jinsia mbili kunasababishwa na sababu mbalimbali za kibiologia wakati wa uumbaji/ukuaji wa jinsia wakati mtoto akiwa anaumbika tumboni mwa mama yake (sex differentiation). Kutokamilika au kuvurugika katika sex differentiation kunaweza kusababisha kiumbe kuwa sex organs za jinsia zote mbili au kuwa na sex organ ya jinsia moja ambayo haijakamilika.


  Katika sexual differentiation, chromosome ndio zinahusika ambazo ni XX (kwa mwanamke) au XY (kwa mwanaume). Sasa basi kunapokuwa na mushkeli katika kujipanga, maumbile ya hizo chromosome, uwiano ktk utoaji enzyme zinazohusika na hiyo process (sex differentiation) au uwiano ktk utoaji wa hormones husika ndio hapo mambo huanza kuharibika. Kuna mambo mengi yanayoweza kuleta mvurugano hapa, ila nitaongelea mfano mmoja tu wa upungufu wa enzyme moja.

  Mfano wa enzyme inayoweza kuleta mushkeli katika sexual diferentiation ni 5 - alpha reductase. Kazi kubwa ya hii enzyme ni kubadilisha testosterone kwenda di-hydro-testosterone. Ukosefu/upungufu wa 5 alpha reductase husababisha kuwa na kiwango kikubwa cha testosterone kwenye peripheral tissues. Hii hupelekea uwiano mkubwa ya testosterone / di-hydro-testosterone. Hii ina maana kuwa kuna kiwango kidogo cha di-hydro-testosterone.

  Hii di-hydro-testosterone ndio yenye kazi muhimu kwa ajili ya ukuaji wa viungo vya kiume vya mwanadamu akiwa kwenye tumbo la uzazi. Kwa hiyo basi kama Kiumbe hiki, kilikuwa na Y chromosome, kinatarajiwa kuwa na male genitalia. Lakini kwa vile hakuna kichocheo cha kutosha kuwezesha uumbaji wa viungo vya kiume vya uzazi, basi hapo kutegemea na factors nyingine (hasa genetical factors) kiumbe kinaweza kuwa na viungo vya uzazi vya kiume kama kawaida lakini katika utu uzima wake akawa na tabia za kike. Pili Kiumbe kinaweza kuzaliwa na ambigous genitalia (having both sex genital organs which are not fully developed or the female one to be more pronounced ). The third scenario ni kuzaliwa mtoto mwenye genitalia za kike lakini ana characteristics za kiume.
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Dec 27, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Intersex individuals display genetic, and sometimes physical, signs of both male and female sexes. Intersex is not to be confused with transgender or transsexual individuals because their condition is not a result of personal choice or expression.

  Intersex people are born with sexual characteristics of both males and females. These variations in sex organs cannot be attributed to a single cause, although hormonal variations during pregnancy, genetic mutations during development, and environmental toxins are sometimes associated with the development of intersex characteristics.

  In our society, most intersex infants undergo hormonal and surgical treatment so that they can appear fully male or female. Despite these treatments and the fact that these intersex conditions are not always physically identifiable, intersex individuals are often confronted with gender identity issues, ridicule from peers, and fertility problems. Intersex individuals are not “freaks,” and should not be stigmatized as a result of their condition. Instead, intersex individuals should be treated with the same respect as everyone else...


  More Info: Intersex Info or Androgen
   
 10. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mama, exquisite explanation! Almost exquisite.

  Ila, unapoongelea matatizo ya enzyme release unaweza kuwa umerukia katika matokeo badala ya chanzo.

  Ningependa kusisitiza gene mutation kuliko irregularities in enzyme release ambalo ni tokeo tu. Tatizo linaanza wakati wa fundamental genetic errors wakati wa daughter cell formation - mutation. Nadhani ulitakiwa useme kunakuwa na mutation katika sex chromoses. Halafu hiyo mutation ndio inasababisha enzyme mal-release.

  Na pia, mutation sio ``mushkeli katika kujipanga``kwa chromosomes. Ila ni mabadiliko ya ovyo (random) katika chromosomes, yasiyohusiana na kujipanga.
   
 11. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Asante sana Mkuu nimekupata.

  Du! Ila hiyo ya Jamii ya Kihaya kuvuta Critoris ndiyo leo naisikia, maana tumesikia mengi ya Kutahiri wanawake lakini si hili.

  Kama ni kweli na "hiyo kitu" ikiwa ndefu inasabibisha rrrraaaaahhhhaaaa, basi ni vizuri akina dada wakawa wanafikiria kuvivuta vuta viwe virefu . . . LOL
   
 12. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mama mpendwa . . . .

  Ama kweli wewe ni Mama halisia kama si Daktari. Maelezo yako ingawa ni ya kitaaluma lakini nimeyapata na yamenipa mwanga.

  Nitasubiri ziada kama ipo toka kwa JF Doctor. Kama hapatikani basi ningekushauri uwe Co-Doctor wa JF.

  Umemsoma Pasco hapo juu? Una maoni gani?
   
 13. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kuhani; Mzee wa "Cross Examination" habari ya Sikukuu ya Noeli? Nimeona umekuja la Alvar ya Kichwa!! LOL

  I think I can guess what you mean . . . .

  Asante kwa maelezo ya ziada.

  Anayeweza kujibu maswali yangu yaliyobakia, basi pia nitashukuru.
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,598
  Likes Received: 18,603
  Trophy Points: 280
  Haya ni mambo ya ndani sana na ni siri za makabila, kama ilivyo kwa Wamasai, Wambulu, Singida na Dodoma bado wanatohara kwa wanawake mpaka kesho but no one can admit na inapotokea ukagusa na kukuta hamna kitu, mhusika atakuambia amezaliwa hivyo hivyo, hivyo, sitegemei Muhaya yoyote kujitokeza kuseecondment hoja ya kukivutavuta ila ni kweli ya kushuhudia sio kuhadithiwa.
   
 15. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mmmh! Mkuu, inasikitisha sana jinsi familia zinavyoyanyamazia mambo haya but in public the sound differently.

  I wish wabinti wangengekuwa na uhuru wa kuamua watakalo.

  Jamii yetu bado ina matatizo sana . . . .
   
 16. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  The picture has now posted on JPG format for those who could not open in PPT.
   
 17. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Du!

  Kazi kweli kweli . . . . Binadamu tuna mengi . . . .
   
 18. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Mkuu Pasco, umenifurahisha na hii habari ya kuvuta critoris kwa wahaya ingawa mimi nimekutana na akina dada wawili watatu wa kihaya sikubahatika kuona hiyo kitu sasa sijui kwa kuwa wamezaliwa na kukulia mjini au vipi but i wish siku moja ningekumbana na wa aina hiyo ingekuwa burudani sana kwangu!!!! teh! teh!!teh tehhhh!!
   
 19. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Du!

  JF Doctor, bado tu hajarudi likizo?
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hizi nimekuwa naziona kwenye tovuti pendwa i knew ni za kubandika kumbe zipo.
   
Loading...