Picha ya Bendera ya Tanganyika kwa ambao hatujawahi kuiona

Hii je?
images
ubunifu wako mzuri sana mkuu
 
Tukikaa na kufikiri kwa kina sijui huyu RAIS wa muungano atakuwa ana kazi gani yaani kwa ufupi JD yake ni ipi?Je atakuwa na AUTHORITY gani?Ni nani atachangia cost za kuiweka serikali hii ya tatu.Je itakuwa na wabunge na mawaziri au inakuwaje?Je,hii kodi yetu itatosha kuendesha safari za RAIS wa Tanganyika na RAIS wa Muungano? Watanzania inapasa tujiulize mara tatu tatu hii ni kwa faida ya MTANZANIA au MWA-SIHASA?
Soma Rasimu II usiwe mvivu utajua kazi zake
 
Katika hali ya kufurahia ujio wa tanganyika mpya iliyo kuwa imepotezwa na ccm,sasa bendera ya tanganyika ipo mitaani kama maandalizi ya hamasa ya kushawishi wananchi wakubali serikali 3

nipatiwe 100 nikazisambaze kwenye jimbo langu la uchaguzi .
 
Tanganyika mama njoo, watoto wako tulikaa wakiwa muda mrefu. Ni furaha yetu mama kukuona. Watoto wako wengi hapo duniani utatuona wajukuu na vitukuu. Tunakupenda Tanganyika.
 
Niambieni zilipo bendera ya Tanganyika zile ndogo za kuning'iniza kwenye magari na ofisini mezani?
 
Mkuu nilikuwa napata Lunch na Coke.
Baada ya kuona hizi Combination za CHADEMA na TANGANYIKA nimefarijika na nimeamua kuagiza na Tusker Baridi Kabisa....

Pamoja mkuu,
Hatuwezi kuishi utumwani maishani, lazima turudi kwenye nchi yetu ili tuweze kuhoji mambo kama Upandishaji wa bei ya umeme, Tembo wetu nk.
 
Back
Top Bottom