Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 141
jamani zinauzwa wapi nazitaka nizilete chuo nikazisambaze sasa hivi
Hii ya TANGANYIKA
Na hii ya TANU
Naona watu wanazichanganya sana!
Kwani ya zanzibar ipo?
Hii je?
we n mtu wawapi haufaham mpaka dakika hii kuwa zanj wanabendera yaoKwani ya zanzibar ipo?
Katika hali ya kufurahia ujio wa tanganyika mpya iliyo kuwa imepotezwa na ccm,sasa bendera ya tanganyika ipo mitaani kama maandalizi ya hamasa ya kushawishi wananchi wakubali serikali 3
Na ije tu maana nitafurahi sana kuitwa mtanganyika kwan naumia sana pale nnajiuliza tanganyika iko wap na ninakosa majibu kabisa ile hali zanzibar bado ipo
MASAHIHISHO: ...Siyo HESHIMA... Bali ni HEKIMA.
Tukikaa na kufikiri kwa kina sijui huyu RAIS wa muungano atakuwa ana kazi gani yaani kwa ufupi JD yake ni ipi?Je atakuwa na AUTHORITY gani?Ni nani atachangia cost za kuiweka serikali hii ya tatu.Je itakuwa na wabunge na mawaziri au inakuwaje?Je,hii kodi yetu itatosha kuendesha safari za RAIS wa Tanganyika na RAIS wa Muungano? Watanzania inapasa tujiulize mara tatu tatu hii ni kwa faida ya MTANZANIA au MWA-SIHASA?
Mkuu nilikuwa napata Lunch na Coke.
Baada ya kuona hizi Combination za CHADEMA na TANGANYIKA nimefarijika na nimeamua kuagiza na Tusker Baridi Kabisa....