Picha ya Bendera ya Tanganyika kwa ambao hatujawahi kuiona

Serikali tatu haikwepeki, hutaki jinyonge.

1)haya kajaze fomu uwe rais wa hiyo srekali ya tatu.nani anaitaka serekali isiyo na miguu.
2)tuchukueni serekali yetu ya tanganyika kabla ya hilo bunge la serekali tatu.ulinzi uatakuwa chini ya vikosi vya JKTU.
3)ili twende fasta fasta tumuombe huyu mkuu kabisa awe raisi muasisi wa jamuhuri ya pili ya tanganyika.katiba ya tanganyika iwe ile ya kabla ya Muungano.
3)usidanganywe mambo ni Tanganyika.Rais wa Tanganyika hakuna wa kumbabaisha katika huo Muungano.
 
Habarini za asubuhi wakuu, naomba kuoneshwa picha ya Bendera yetu
ambayo ilipandishwa mwaka 61 baada ya kupata uhuru, Mwenye nayo please
naomba aibandike hapa.
 
Nimeipata ya Tanu, ya Gavana na ile ya kabla ya uhuru.
800px-Flag_of_the_Governor-General_of_Tanganyika.svg.png
Ya Gavana wa Tanganyika
View attachment 145967
Kama tutatumia hii tunyofoe hicho kipande cha uingereza
800px-Flag_of_Tanganyika_African_National_Union.svg.png
Hii ya Tanu
 
nimejaribu sana kuzitafuta hapa kariakoo sijaziona , ni wapi hasa zinapatikana jamani ?
 
Jamani naweza pata wapi kibendera cha Tanganyika, nataka niweke ndani kwangu mezani. Kwa Dar nielekeze nimtume mtu akaninunulie.

Asante
 
kwanini utume mtu?nenda mwenyewe police post vinauzwa!kisha uje utupe feedback "customer service" nzuriiiii uliyopewa!lol!
 
Niko Kigoma mkuu, ndio maana nimeamua kumtuma mtu. Is it a crime kuwa na bendera ya Tanganyika.


Kaunga kwani kigoma hakuna vituo vya polisi?!!!!!zamani enzi za mwalimu ungeulizia bendera ya Tanganyika ungekutana na kesi ya uhaini lakini siku hizi watakuambia wewe ni mwana-ukawa,sasa sijui sheria zilibadilishwa ama la!
 
Wana jamvi nawakumbusha wale wote wenye kuipenda historia ya kweli kesho tubebe bendera yetu ya Tanganyika maana hatujawahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania Bara!!!! ZumbeMkuu, ulishashona vazi lako? Pls tuikumbushe jamii yetu na watoto wetu ili vizazi vijavyo viikumbe Tanganyika kwa kumaanisha na sio kubabaisha! Happy Birthday Tanganyika!
Tupate sasa vazi lenye bendera kama Kisu alivyotumia juzi
 
Back
Top Bottom