Picha ya Bendera ya Tanganyika kwa ambao hatujawahi kuiona

ameline

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
2,301
2,000
ila naomba kama kuna uwezekano isiwe na rangi ya kijani kabisaaa bora hiyo ya zambarau a.k.a purple or udhurungi
 

mzee wa miba

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
762
0
Hii je?
images

Hiii ni ya free Manson akiwemo Nepi
 

apakak

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
896
1,000
Tukikaa na kufikiri kwa kina sijui huyu RAIS wa muungano atakuwa ana kazi gani yaani kwa ufupi JD yake ni ipi?Je atakuwa na AUTHORITY gani?Ni nani atachangia cost za kuiweka serikali hii ya tatu.Je itakuwa na wabunge na mawaziri au inakuwaje?Je,hii kodi yetu itatosha kuendesha safari za RAIS wa Tanganyika na RAIS wa Muungano? Watanzania inapasa tujiulize mara tatu tatu hii ni kwa faida ya MTANZANIA au MWA-SIHASA?

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndani ya mfumo wa serikali tatu atakuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama

Maswali yako yanajibiwa na rasmi ya pili ya katiba hapo chini

https://www.jamiiforums.com/katiba-...atiba-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania.html
 

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,158
2,000
Katika hali ya kufurahia ujio wa tanganyika mpya iliyo kuwa imepotezwa na ccm,sasa bendera ya tanganyika ipo mitaani kama maandalizi ya hamasa ya kushawishi wananchi wakubali serikali 3
Safari bado ndefu kwani wachakachuaji wamejipanga kwenye bunge maalumu la katiba hii na kwenye kura ya maamuzi. Kazi ngumu bado mbeleni kuipata Tanganyika inayoliliwa na wananchi wake wengi.
 

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,158
2,000
Tanganyika mama njoo, watoto wako tulikaa wakiwa muda mrefu. Ni furaha yetu mama kukuona. Watoto wako wengi hapo duniani utatuona wajukuu na vitukuu. Tunakupenda Tanganyika.
Mkuu, machozi yananilengalenga.
 

decomm

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
719
1,000
Mungu ibariki Tanganyika,
Wabariki viongozi wake,
Heshima umoja na amani,
...................................
...................................
...................................
.....................................
......................................

MASAHIHISHO: ...Siyo HESHIMA... Bali ni HEKIMA.
 

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,949
2,000
Mtikila ndio mtanganyika wa kweli dah huyu jamaa hajawahi kujiita mtanzania though tulikuwa twamuona chizi kumbe aliona mbali
 

Lighondi

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
582
195
Tukikaa na kufikiri kwa kina sijui huyu RAIS wa muungano atakuwa ana kazi gani yaani kwa ufupi JD yake ni ipi?Je atakuwa na AUTHORITY gani?Ni nani atachangia cost za kuiweka serikali hii ya tatu.Je itakuwa na wabunge na mawaziri au inakuwaje?Je,hii kodi yetu itatosha kuendesha safari za RAIS wa Tanganyika na RAIS wa Muungano? Watanzania inapasa tujiulize mara tatu tatu hii ni kwa faida ya MTANZANIA au MWA-SIHASA?

Nafikiri atakuwa ni ceremonial president.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom