KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,514
- 89,006
Vipara wa kinyozi mmoja hawachekani!Pale unapoitaka sauti iongezwe kwa ala za music upendao..! Ukidhani kila mtu anafurahia, kumbe unaleta kero bila kujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipara wa kinyozi mmoja hawachekani!Pale unapoitaka sauti iongezwe kwa ala za music upendao..! Ukidhani kila mtu anafurahia, kumbe unaleta kero bila kujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukaipige baragumu jangwani kule ambako hakuna uhai lakini hakuna hofu
Tumaini la mirindimo na ala zake zikapeperushwe mpaka kwa wanakaya tukuka?
Sitaki kukumbuka makombokinia wakati minofu yake yote anaondoka nayo tai mweupe apaaye juu angani sana
Naweza kunena nikagonda kwa uwazi ukweli na uhuru lakini nitasalimika! [emoji15] [emoji144] kifanyio changu nakionea imani pale kitakapodungwa mkuki mwembamba ama kubebeshwa makilo ya ratili kutwa kuchwa
Acha nipige zumari jangwani View attachment 545920
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr umeandka kitu cha maana sana,na umetumia fasihi ya Hali ya juu sana.Tunaokuelewa ktk bandiko hili ni sisi tuliosoma literature, kweli umeona mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea unanyoa mtindo gani denge au kibwenziVipara wa kinyozi mmoja hawachekani!
Hilo halina ubishi na wakitaka kumsimamisha mtu tofauti basi yatakuwa makosa makubwa ambayo yanaweza jabusa kuidhoovisha CHADEMA kwa muda mrefu sana kama siyo milele.
EeeehTukaipige baragumu jangwani kule ambako hakuna uhai lakini hakuna hofu
Tumaini la mirindimo na ala zake zikapeperushwe mpaka kwa wanakaya tukuka?
Sitaki kukumbuka makombokinia wakati minofu yake yote anaondoka nayo tai mweupe apaaye juu angani sana
Naweza kunena nikagonda kwa uwazi ukweli na uhuru lakini nitasalimika! [emoji15] [emoji144] kifanyio changu nakionea imani pale kitakapodungwa mkuki mwembamba ama kubebeshwa makilo ya ratili kutwa kuchwa
Acha nipige zumari jangwani View attachment 545920
Sent using Jamii Forums mobile app
Great sinkerJPM is my future president...dont blame Mr. president for your own SHIT!! just blame your ass!!
Msema kweli mpenzi wa Mungu nikiufumania ule mtamu naonjaga kidogo
Muhenga
[emoji115] [emoji106] [emoji39] [emoji39] [emoji781] [emoji781] [emoji781] [emoji39] [emoji2]Basi nitakuletea uonje maana umenikosha kivingine leo[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
hata bata anadimpoz lkn limefichwa na manyoya!
Sasa woga wa nini kama anakubalika namna hiyo? muwe mnatumia akili ku justify hoja za namna hiyo zinazogusa mawazo ya wengi.Mkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]
Labda wewe peke yako,ukiishilikisha familia yako,utachekwaMkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]