Picha ya 2020 imeshajichora! Bado rangi tuu

Ni movements zinazoenda kwa kasi ya aina yake but very well timed
Unafanya diversion hapa ili kuhamisha attention ya public kisha unabutua
Unahakikisha unajenga hofu kubwa kwa yeyote anayejaribu kwenda kinyume
Unajenga msingi wenye kingo imara kupitia teuzi za watendaji waliojawa hofu
Vipaza sauti vyote vya baraza la jamii ama vinatobolewa au kubondwabondwa kama si kufungiwa ghalani
Ukishindwa kuichora picha ya 2020 basi saidia hata kupaka rangi ili siku tukiibandika kwenye bango USISHANGAE

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa bado miaka 2 tumeishawajua sasa tuanze kuipaka picha rangi, kuna Uzi humu uliandikwa tangu mwaka 2012 na I'd ya MAGAMBA MATATU, umeeleza mikakati yao ovu waliyoplan kuitenda ili kulinda madaraka, mingine imeishafail
 
[emoji123][emoji115][emoji111][emoji109]
 
Hujasoma literature au hukuielewa ikiwa ulisoma. Usidanganye watu. Maana ungekuwa umesoma usingeandika ulichoandika.umeweka ushabiki.kuna literature gani katika alichoandika mshana? C'mon man be serious hata kidogo.kwa nini mnapenda kudhalilisha taaluma za watu?

Mshana Jr umeandka kitu cha maana sana,na umetumia fasihi ya Hali ya juu sana.Tunaokuelewa ktk bandiko hili ni sisi tuliosoma literature, kweli umeona mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni movements zinazoenda kwa kasi ya aina yake but very well timed
Unafanya diversion hapa ili kuhamisha attention ya public kisha unabutua
Unahakikisha unajenga hofu kubwa kwa yeyote anayejaribu kwenda kinyume
Unajenga msingi wenye kingo imara kupitia teuzi za watendaji waliojawa hofu
Vipaza sauti vyote vya baraza la jamii ama vinatobolewa au kubondwabondwa kama si kufungiwa ghalani
Ukishindwa kuichora picha ya 2020 basi saidia hata kupaka rangi ili siku tukiibandika kwenye bango USISHANGAE

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachia mbali UCHAWI ,,unabusara sana
 
Hujasoma literature au hukuielewa ikiwa ulisoma. Usidanganye watu. Maana ungekuwa umesoma usingeandika ulichoandika.umeweka ushabiki.kuna literature gani katika alichoandika mshana? C'mon man be serious hata kidogo.kwa nini mnapenda kudhalilisha taaluma za watu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] roho ya koroshow
 
Back
Top Bottom