Picha ya 2020 imeshajichora! Bado rangi tuu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,512
Reaction score
860,557
Ni movements zinazoenda kwa kasi ya aina yake but very well timed
Unafanya diversion hapa ili kuhamisha attention ya public kisha unabutua
Unahakikisha unajenga hofu kubwa kwa yeyote anayejaribu kwenda kinyume
Unajenga msingi wenye kingo imara kupitia teuzi za watendaji waliojawa hofu
Vipaza sauti vyote vya baraza la jamii ama vinatobolewa au kubondwabondwa kama si kufungiwa ghalani
Ukishindwa kuichora picha ya 2020 basi saidia hata kupaka rangi ili siku tukiibandika kwenye bango USISHANGAE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]
 
Nimetoka kapa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
fascism-50-728.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani siasa ni sehemu ya maisha ya mwanadamu? kwanini tusiwe na mambo mengine siasa tukaachana nazo?
 
Hilo halina ubishi na wakitaka kumsimamisha mtu tofauti basi yatakuwa makosa makubwa ambayo yanaweza jabusa kuidhoovisha CHADEMA kwa muda mrefu sana kama siyo milele.

Back
Top Bottom