Picha ya 2020 imeshajichora! Bado rangi tuu

Picha ya 2020 imeshajichora! Bado rangi tuu

Mkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]
Beware-of-false-knowledge-it__quotes-by-George-Bernard-Shaw-30.png


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah... Watu wametupa mzoga wewe unaokota.... What do you expect? [emoji87] [emoji41]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Dah... Watu wametupa mzoga wewe unaokota.... What do you expect? [emoji87] [emoji41]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
Uvundo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji781] [emoji779] [emoji781] [emoji779] [emoji781] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukaipige baragumu jangwani kule ambako hakuna uhai lakini hakuna hofu
Tumaini la mirindimo na ala zake zikapeperushwe mpaka kwa wanakaya tukuka?
Sitaki kukumbuka makombokinia wakati minofu yake yote anaondoka nayo tai mweupe apaaye juu angani sana
Naweza kunena nikagonda kwa uwazi ukweli na uhuru lakini nitasalimika! [emoji15] [emoji144] kifanyio changu nakionea imani pale kitakapodungwa mkuki mwembamba ama kubebeshwa makilo ya ratili kutwa kuchwa
Acha nipige zumari jangwani
kokopelli_sunset_by_deskridge-d6ta0sq.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
This joke has made my day.[emoji116][emoji116][emoji116]

A preacher in a public bus started preaching..
"Leo nataka kuwasomea barua ya Paulo kwa Warumi."
A 'mlevi' at the back asked him, "Kwa nini utusomee na sisi sio Warumi? Kwanza nani amekwambia ufungue barua ya wenyewe??"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom