cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,809
Don't you see your poster goes against your intended message. What i can see in your thread are the signs of a dying horse.
A dying horse is more dangerous than a living one... Its last kicks can cause inevitable harm..Don't you see your poster goes against your intended message. What i can see in your thread are the signs of a dying horse.

WHO IS TALKING ABOUT KUSHINDA? Soma vizuri mada kisha angalia upepo unavyovuma, kisha chukua moja jumlisha moja, kisha tafakari 2020.Mkuu toka 2010 lini CCM ilishinda?
Kaa kimya huna mkiaWHO IS TALKING ABOUT KUSHINDA? Soma vizuri mada kisha angalia upepo unavyovuma, kisha chukua moja jumlisha moja, kisha tafakari 20120.
sawa wewe mwenye mkia ongea mimi nishakaa kimya.Kaa kimya huna mkia
Poasawa wewe mwenye mkia ongea mimi nishakaa kimya.
Mkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]
Mkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]
Si vibaya kujipa moyo. Lakini sioni mtu yeyote huko ccm b wa kuwashinda ccm a. Nilisema hivi 2015 nikitolea mfano wa Mrema mkasema hii ni miaka tofauti lakini kufikia karibu ya uchaguzi ndugu zetu kina mbowe wakaanza kufukuzana (zitto,mkumbo n.k) wakaishia kupata msaada tena kutoka maswaiba wao ccm a wakawapatia mchezaji wao ambaye ccm b walinanga miaka 7 kama fisadi.Hilo halina ubishi na wakitaka kumsimamisha mtu tofauti basi yatakuwa makosa makubwa ambayo yanaweza jabusa kuidhoovisha CHADEMA kwa muda mrefu sana kama siyo milele.
Magufuli hahitaji hata kura moja ya watu JF kushinda mwaka 2020. Wengi wa JF ni watu wanaojadili kwa mihemko maana kesho wanasahau nini walisema jana. Tungewaamini watu wa JF basi Lowasa asingepata kura nyingi vile. JF wanajifanya wao ni 55% ya watanzania. Wengi ni mabingwa wa KB na hawana hata makaratasi ya Tanzania halafu wanataka kua wasemaji wa Watanzania.Aliyeshiba ni ngumu kumkumbuka mwenye njaa,
Kinachotuponza ni umimi.
Sema wewe usitusemee.Wengine hata kwa kunyongwa hatumpi kura mtu mwenye visasi,chuki na ubaguzi
MKUU KAMA TULIAMINISHWA KUWA FISADI JE KUNA UBAYA GANI ,MBONA KAHAMA CCM NA MACCM WAMEKAFUNGUA MAHAKAMA YA MAFISADI MBONA MPAKA NAANDIKA HUU UZI HAWAJAMPELEKA MAHAKAMANI?Magufuli hahitaji hata kura moja ya watu JF kushinda mwaka 2020. Wengi wa JF ni watu wanaojadili kwa mihemko maana kesho wanasahau nini walisema jana. Tungewaamini watu wa JF basi Lowasa asingepata kura nyingi vile. JF wanajifanya wao ni 55% ya watanzania. Wengi ni mabingwa wa KB na hawana hata makaratasi ya Tanzania halafu wanataka kua wasemaji wa Watanzania.
Magufuli hahitaji hata kura moja ya watu JF kushinda mwaka 2020. Wengi wa JF ni watu wanaojadili kwa mihemko maana kesho wanasahau nini walisema jana. Tungewaamini watu wa JF basi Lowasa asingepata kura nyingi vile. JF wanajifanya wao ni 55% ya watanzania. Wengi ni mabingwa wa KB na hawana hata makaratasi ya Tanzania halafu wanataka kua wasemaji wa Watanzania.
Hapa ndo nimeelewa. Maana nilivyosoma mwanzo. Nilitoka mweupe kabisa