Ni movements zinazoenda kwa kasi ya aina yake but very well timed
Unafanya diversion hapa ili kuhamisha attention ya public kisha unabutua
Unahakikisha unajenga hofu kubwa kwa yeyote anayejaribu kwenda kinyume
Unajenga msingi wenye kingo imara kupitia teuzi za watendaji waliojawa hofu
Vipaza sauti vyote vya baraza la jamii ama vinatobolewa au kubondwabondwa kama si kufungiwa ghalani
Ukishindwa kuichora picha ya 2020 basi saidia hata kupaka rangi ili siku tukiibandika kwenye bango USISHANGAE
Sent using
Jamii Forums mobile app