Picha ya 2020 imeshajichora! Bado rangi tuu

Picha ya 2020 imeshajichora! Bado rangi tuu

Hivi alie chumbani na alie nje ya chumba nani anaona yachumbani..?
kama jinsi ambavyo picha kabla ya kuchorwa haikujulikana itakuwaje basi huenda hata muda ujao isijulikane itakuwaje!

sitahangaika hata kupaka rangi maana huenda nikaikoleza picha ikawa mbaya!

maumivu ya kusukwa ayasikiaye ni msukwaji na uzuri wa msukwaji auonae ni muangaliaji..!
wkt mkwere anasema bulldozer sidhani kama tulikuwa tumeziba maskio!
matokeo hayatukanwi.
Pale unapoitaka sauti iongezwe kwa ala za music upendao..! Ukidhani kila mtu anafurahia, kumbe unaleta kero bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hofu kuu imetanda kwa viongozi aliowateua. Kila mmoja anajikomba haonekane ni bora kuliko mwenzake.
Viongozi wameweka ueledi pembeni na kuvaa unafiki.
Tujikumbushe maandiko matakatifu

Warumi 12:17
Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.
 
Rangi tayari zipo wazi....

BLACK... ishara ya Msiba wa Demokrasia
RED... ishara ya Hatari iliyopo kwa watu watakaokuwa chini ya ukandamizi wa mfumo kandamizi usio wa kidemokrasia!!!
 
Rangi tayari zipo wazi....

BLACK... ishara ya Msiba wa Demokrasia
RED... ishara ya Hatari iliyopo kwa watu watakaokuwa chini ya ukandamizi wa mfumo kandamizi usio wa kidemokrasia!!!
No-Vote-Unionism.jpg
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naongeza Rangi, 2020 mshindi atatangazwa na dola au chini ya ulinzi mkali wa dola kuliko miaka yote.
 
Ni movements zinazoenda kwa kasi ya aina yake but very well timed
Unafanya diversion hapa ili kuhamisha attention ya public kisha unabutua
Unahakikisha unajenga hofu kubwa kwa yeyote anayejaribu kwenda kinyume
Unajenga msingi wenye kingo imara kupitia teuzi za watendaji waliojawa hofu
Vipaza sauti vyote vya baraza la jamii ama vinatobolewa au kubondwabondwa kama si kufungiwa ghalani
Ukishindwa kuichora picha ya 2020 basi saidia hata kupaka rangi ili siku tukiibandika kwenye bango USISHANGAE


Sent using Jamii Forums mobile app
Watakutuhumu uchochezi ,kama wamekuelewa lakini
 
Back
Top Bottom