Picha ya 2020 imeshajichora! Bado rangi tuu

Picha ya 2020 imeshajichora! Bado rangi tuu

This joke has made my day.[emoji116][emoji116][emoji116]

A preacher in a public bus started preaching..
"Leo nataka kuwasomea barua ya Paulo kwa Warumi."
A 'mlevi' at the back asked him, "Kwa nini utusomee na sisi sio Warumi? Kwanza nani amekwambia ufungue barua ya wenyewe??"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] that mlevi is enlightened

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni movements zinazoenda kwa kasi ya aina yake but very well timed
Unafanya diversion hapa ili kuhamisha attention ya public kisha unabutua
Unahakikisha unajenga hofu kubwa kwa yeyote anayejaribu kwenda kinyume
Unajenga msingi wenye kingo imara kupitia teuzi za watendaji waliojawa hofu
Vipaza sauti vyote vya baraza la jamii ama vinatobolewa au kubondwabondwa kama si kufungiwa ghalani
Ukishindwa kuichora picha ya 2020 basi saidia hata kupaka rangi ili siku tukiibandika kwenye bango USISHANGAE

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli kabisa
 
Hofu kuu imetanda kwa viongozi aliowateua. Kila mmoja anajikomba haonekane ni bora kuliko mwenzake.
Viongozi wameweka ueledi pembeni na kuvaa unafiki.
 
The untouchables soulmates
logo-orizz.jpg
hqdefault.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani siasa ni sehemu ya maisha ya mwanadamu? kwanini tusiwe na mambo mengine siasa tukaachana nazo?
Mkuu unaandika upupu gani sasa!?, mambo gani mengine utakayojihusisha nayo yasiingiliane Na watunga sera?(wanasiasa)!?, hata ukifa keo, eneo la kukuzikia limechaguliwa Na wanasiasa!.
 
Ni movements zinazoenda kwa kasi ya aina yake but very well timed
Unafanya diversion hapa ili kuhamisha attention ya public kisha unabutua
Unahakikisha unajenga hofu kubwa kwa yeyote anayejaribu kwenda kinyume
Unajenga msingi wenye kingo imara kupitia teuzi za watendaji waliojawa hofu
Vipaza sauti vyote vya baraza la jamii ama vinatobolewa au kubondwabondwa kama si kufungiwa ghalani
Ukishindwa kuichora picha ya 2020 basi saidia hata kupaka rangi ili siku tukiibandika kwenye bango USISHANGAE

Sent using Jamii Forums mobile app

............. huko upande wa pili nako migambo wanakanyagana kwenda mbele, kila mtu anataka awe juu kiasi sasa hata bosi hajulikani tena! Watu kila kukicha kutafuta 'kiki', hata ikibidi kujikamatisha kwa nguvu kwa kuvunja sheria kwa makusudi ............! KWAKWELI BADO RANGI TU!

............. Huko upande wa pili nako migambo wanakanyagana kwenda mbele, kila mtu anataka awe juu kiasi sasa hata bosi hajulikani tena! Watu kila kukicha kutafuta 'kiki', hata ikibidi kujikamatisha kwa nguvu kwa kuvunja sheria kwa makusudi ............! KWAKWELI BADO RANGI TU!

Isome hiyo katika uwanja angavu nyuma ya zulia na usichague kuona kile unachotaka kuona utapata ukweli tofauti dhahiri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi alie chumbani na alie nje ya chumba nani anaona yachumbani..?
kama jinsi ambavyo picha kabla ya kuchorwa haikujulikana itakuwaje basi huenda hata muda ujao isijulikane itakuwaje!

sitahangaika hata kupaka rangi maana huenda nikaikoleza picha ikawa mbaya!

maumivu ya kusukwa ayasikiaye ni msukwaji na uzuri wa msukwaji auonae ni muangaliaji..!
wkt mkwere anasema bulldozer sidhani kama tulikuwa tumeziba maskio!
matokeo hayatukanwi.
 
Back
Top Bottom