Picha: waturuki wakikarabati uwanja wa mkapa

Picha: waturuki wakikarabati uwanja wa mkapa

Kwa akili yako (sina uhakika kama ni kubwa au ndogo) ulidhani Waturuki watafanya kazi zote hadi za vibarua!?
Huelewi ndugu hana maana hiyo. Usalama wa hao vibarua haujazingatiwa..no safety boots,no gloves, wamevaa kaptula, reflector jacket huyo mmoja kavaa kihuni halafu serikali inapiga nao picha.Sasa makosa ya wazi hayo serikali iliyopo hapoa inashindwaje kuyaona?
 
*** wewe,unaropoka ropoka tu,lufindo lwa ng'waso
Kazi kutetea mafisadi tu humu pumbavu.

Si ajabu hao mafisadi huwa wanakurushia makombo tu baada ya wao kuwa wamekula na kusaza.

Watu wanauliza 31b zimetumika vipi mpaka tumefikia kwenye aibu hii ya kukosa mchezo wa fainali kizembe, wewe unakuja kutetea hapa eti zimetumika kununua viti elfu 60 hivi una akili wewe? Heri muda mwingine uwe una kaa kimya.
 
Taja vinagjarimu kiasi gani siyo kulalama tu
Kwamba unataka kusema kufix zile taa, kukarabati vyoo na viti ndio jumla yake imefika 31b?

Naamini kabisa wewe hata sio mnufaika wa huu ufisadi uliofanyika hapo, ila ni chawa tu mmoja usiyekuwa na akili na kama ni pesa za ufisadi basi ni kiduchu sana mjinga wewe...sasa endelea kuwatetea hapa.
 
Taja ni kiasi gani ukiwa na vielelezo,na uzungumzie kila ukarabati
 
Back
Top Bottom