Picha: waturuki wakikarabati uwanja wa mkapa

Picha: waturuki wakikarabati uwanja wa mkapa

Huelewi ndugu hana maana hiyo. Usalama wa hao vibarua haujazingatiwa..no safety boots,no gloves, wamevaa kaptula, reflector jacket huyo mmoja kavaa kihuni halafu serikali inapiga nao picha.Sasa makosa ya wazi hayo serikali iliyopo hapoa inashindwaje kuyaona?
Mkuu watu waneshagawana mapesa akili zimetoweka hapo wanawaza Kula urefu wa kamba zao tu
 
Back
Top Bottom