nimegundua kitu jinsi Mtambuzi alivooanisha picha na hawa warembo in real life wako opposite, yaani ukiona hapo ameweka mwembamba basi ujue ni mnene in real life na ukiona ameweka mnene basi ujue ni mwembamba in real life.
Huu ni ugunduzi wangu tuu usiniulize evidence tafadhali, evidence anayo Mtambuzi menyewe.
usijali ngoja niweke hii ya kwako
View attachment 120051
hii ya chini ya gfsonwin
View attachment 120050
amekupendelea sana huyo mtambuzi.
Acha tu mamangu...nilikoenda last time ndo kanichagulia hilo weave!!
Yani nimekuwa ka mwanasesere,lol
wewe hebu delete hiyo picha mm sio mchina mzungu samahani kwani ile picha niliyokupa niliyovaa kitenge ukuiona
View attachment 120056