PICHA: Warembo wa JF kama nilivyonasa picha zao Facebook.....!

PICHA: Warembo wa JF kama nilivyonasa picha zao Facebook.....!

shutterstock_79243774.jpg

Madame B



Hapo vipi Madame B, ni wewe huyu?
 
BwanaWeee Mkuu umematch accordingly !! yaani wewe wafaa FBI (intelejensia wakweli).... Siye ni imaginations tu!!
 
nimegundua kitu jinsi Mtambuzi alivooanisha picha na hawa warembo in real life wako opposite, yaani ukiona hapo ameweka mwembamba basi ujue ni mnene in real life na ukiona ameweka mnene basi ujue ni mwembamba in real life.
Huu ni ugunduzi wangu tuu usiniulize evidence tafadhali, evidence anayo Mtambuzi menyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom