Kaleta hizi picha kwa hisani ya watu wa marekaniMtambuzi mbona hao wote ni wamarekani
Mambo yote LISA, mtoto anakimbiza balaaaa...
Kwanza subiri Zinduna aje kuna msuto wako, mwanamke mbaya weye............LOLMtambuzi mpaka siku unikute na taulo na mjomba ako ndo tutahishmiana!
yani katika picha zooooooooooooooooooooooooooote yangu ndo umeona uweke na maandishi!
nilikutuma unipige picha wakati naandika hayo maneno?
yani unataka kusema hayo maneno nilikuwa nakuandikia wewe?
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu zako mwili mzima!
mwaJ kumbe uko BOMBA hivi ni PM basi aisee!!
nmempenda bure Mwallu.
Acha tu, sijaona mwenye uso mzuri na macho mazuri kama yako.Babamzazi nakukimbiza wapi mie? Mbona wanisingizia, Halafu Mtambuzi unaniuza mke wa mdogo wako shauri lako, naenda kumwambia kuwa umeniweka kwenye mtandao.
Hawa watoto inabidi uwape mistari ndipo wakuone wa mjini, ukiwa unaongea kama umetoka Lwamidati jana, utaishia kula kwa macho.Daaaah jamaa una mistari kama Diamond kwikwi kwikwi kwikwi tehe tehe tehe.
Mods wana edit hawana mchezo