PICHA: Warembo wa JF kama nilivyonasa picha zao Facebook.....!

PICHA: Warembo wa JF kama nilivyonasa picha zao Facebook.....!

Zion daughter lazima utakuwa na pauchi safi sana, maana unapenda kujiweka soap soap mpaka raha.
 
Heaven on Earth nakupongeza kwa chaguo lako, kwa bahati nzuri mm nilishawahi kukutana na mumeo, hivyo ndivyo alivyo.
 
Mbona wote kama sio ngozi ya hapa kwetu, kama vile wazungu, changanyiko wa damu etc, kweli wapo hapa TZ JF au JF ya ulimwengu
 
Mtambuzi yani umenipatiaje...........si unacheki hilo lismile lilivyokaa kama kweli vileee!!!
lakini kumbe ni bonge la fiksi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom