gals!my treat twenzetuni

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,701
23,628
523988_553726154659562_1159305747_n.jpg

cc cacico FP mwaJ Kaunga AshaDii Roullete MadameX madameb Nivea Kipipi Mamndenyi Mrembo by Nature King'asti Kongosho Paloma Swts Ablessed Zion Daughter Preta na wengine wooote wanaousika pande hizi hata Mpole sana twende mwayego!
 
Last edited by a moderator:
Alafu wewe duhh is like ulitumwa na Mungu uweke tabasamu usoni mwangu, hahahahahahahahahahahahaha kicheko nilichocheka ni cha haja bandugu. Kiingereza si mchezo. Hata mie nikikitumia huwa najifikiria mara mbili mbili nisije chekesha umma. haha sentensi inabidi kwanza ziundwe kichwani ndio uitoe hadharani chezeya wewe lugha ya malkia
 
ahahahahh ahsante kwa kukufanya utabasamu mwaya!
jitabasamishe mpenzi!maisha yenyewe ndo haya haya!lol!
 
Mtani snowhite hicho ni kingereza cha kingoni ,lol.Maana na ninyi watani zangu mmesoma sana bwana............ngoja dada Kaunga aje nae aone
 
Kajipambeni maua yetu, sie twapenda sana hayo mambo yenu, hima mwendeni na itikieni wito.
 
Kwi kwiiiiiiiii... Mi padqwa na manqwa lolz!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom