Kiganyi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,242
- 765
MY TAKE; Hivi Wanaharakati wa MAgamba Vyuo vikuu ni hao tu?
Tunapanda Bangi tusitarajie kuvuna Spinach
WITO
- Nani karuhusu haya maandamano??
- wanakibali cha haya maandamano?????????
- mama wa haki za binadamu akiomba kibali au kufanya maandamano atapewa kubali???
- hawa ni wasomi au ni WAISLAMU WACHACHE WANAOCHOCHEWA KULETA MIGOGORO YA KIDINI?
- yako wapi mabango yao yanayohusu hali za mahspotali na vitendea kazi??
- nani kasema kiongozi yuko sahihi mudawote kwa kuwataka wawasikilize viongozi
KIKWETE ACHA USHABIKI TATUA MATATIZO YA HALI DUNI ZA HOSPTITALI NA VITENDEA KAZI< ACHA USHABIKI WA KUZUNGUMZIA MISHAHARA TUU..ACHA KULETA MACHAFUKO KWNY HII NCHI