PICHA; Wanaharakati wa CCM Elimu Ya Juu Wapinga Mgomo wa Madaktari

Tanzania ni nchi ambayo haikosi vituko! Mtu huwezi kukaa tu na kuwa bored! Nasema hiki ni kituko kingine kama cha komedi maana mwenye akili ataona moja kwa moja kuwa hao (vijana?) wametoka upande gani.

Nasema hivi kwa sababu nimesoma mabango ambayo wameyashika, sijaona bango hata moja linalohimiza serikali nayo kutimiza wajibu wake wa kuboresha afya nchini! Hilo bango huyo mama alilolishikilia linaonyesha tu kuwa hoja kubwa ya madaktari ni kutaka nyongeza ya mishahara.

Jambo kubwa, na ambalo linawagusa wote la kuboresha huduma za afya, wao haliwahusu. Ndio maana nasema vioja haviishi Tanzania...ze Komedi wapo wengi!

Mkuu hawa wanatumiwa tu hawana hata moja walijuwalo.
 
Kwenye hiyo picha ya 4 kuna madogo 2 nawajua fika kabisa na hata wakibisha naweza kwenda waouliza ni mateja kwenye stendi ya mabasi mbezi mwisho aaaaaaah ccm are real stupid full of shit
 
hawa ni wanaharakati kweli au ni vibaraka wa chama tawala,ccm ina njia nyingi za kuwaaminisha watu kuwa walichofanya madaktari si sahihi ila wao ndo wako sahihi
 
Kumbe elfu hamsini inaweza kufanya mambo makubwa namna hii!!
CCM kiboko!
Huyo nyambaf amepewa mshiko agawe hizo pesa kuleta mtafaruku ndani ya jamii. anatumiwa na ccm kusafisha hali ya hewa. JK ana shughuli pevu. 2015 ni mbali sana kwake! Sasa anaburuzwa kama kichaa! Washauri wake watampleleka kuzimu kabla ya cku zake.
 
duh kazi ipo kweli hao ni mgambo au wanachuo sielewi elewi. ukiwa na elimu ya kudanganya unatakiwa uwe na full capacity katika nyanja hiyo. angalieni vizuri maandishi ya hayo mabango pia mrejee kule kwenye yale maandamano waliyafanya kuhusu kumpongeza raisi kwa kuamua kuwafukuza baadhi ya mawaziri vuvuzela nape akawapokea baadhi ya maandishi i mean mwandiko unafanana sijui mwandiko wa nani huyu, hawezi hata kutumia akili ndogo ya kutudanganya zaidi. shame kabisa. halafu ebu angalieni hao jamani waliovaa vibagarashia wameridhika na hali walionayo kweli? njaa inatufanya tujisaliti wenyewe
 
Tanzania ni nchi ambayo haikosi vituko! Mtu huwezi kukaa tu na kuwa bored! Nasema hiki ni kituko kingine kama cha komedi maana mwenye akili ataona moja kwa moja kuwa hao (vijana?) wametoka upande gani.

Nasema hivi kwa sababu nimesoma mabango ambayo wameyashika, sijaona bango hata moja linalohimiza serikali nayo kutimiza wajibu wake wa kuboresha afya nchini! Hilo bango huyo mama alilolishikilia linaonyesha tu kuwa hoja kubwa ya madaktari ni kutaka nyongeza ya mishahara.

Jambo kubwa, na ambalo linawagusa wote la kuboresha huduma za afya, wao haliwahusu. Ndio maana nasema vioja haviishi Tanzania...ze Komedi wapo wengi!

Huwezi kuboresha mfumo wa afya unaohudumia watanzania mil. 45 kwa usiku mmoja hii ni work in progress serikali imeshasema nini inaendelea kukifanya; madaktari wenyewe wanahusika kuuhumu mfumo wanaouhudumia ; miongoni mwao ndio wadai wakubwa wa rushwa kabla hawajakuhudumia uzalendo huu leo wameutoa wapi? kama wanataka kuwa wanasiasa na wawe wasitutie mchanga wa macho kwa kujifanya wanawatetea watanzania

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Daaaa kumbe ni ma opportunist kwa style ya kujipendekeza kwa viongozi ili watoke........anyway serikali ya JK itakuwa imewaona na kama bahati yao nzuri wanaweza kuula......LIWALO NA LIWE
 
Sasa ansoma wapi huyu? Mbona ni FUNDI MCHUNDO wa VETA?

Ni mwanachuo pale MNMA na kwa sasa amesimamishwa kwa makosa ya kinidhamu, na hawa aliowakusanya ni wapigadebe ambao wamelipwa kuandamana, ni wa kituo cha mbezi (huku ndiko makazi yake).

Ni sisiemu maslahi!
 
Hawa wanaharakati wa vyuo vikuu CCM walipiga viroba kabla ya maandamano hii ni deal ya Ridhiwani

Ukiwa mjinga ni mjinga tuu wameshindwa hata kutengeneza shoo vizuri unaleta watu nyuso zimekomaa kama wapanda minazi kwa ulevi wa mnazi halafu unasema wanafunzi wa vyuo vikuu,historia ya CCM ni wanawake wameshindwa hata kuwashawishi haha
Tumeshindwa kupiga hatua kwa sababu ya bla bla bla za CCM
Asenga pamoja na kujikomba kote bado hujawahi kupewa kitu chochote cha maana zaidi ya kuzunguka station zote za TV Dar es Salaam
hata hiyo serikali wamekuona wewe ni punguwani
 
Mi nilitegemea waunge mkono mgomo huo maana wakimaliza chuo wanaenda kukutana na hayo wanayogemea watangulizi wao!
 
Naona baraghashia mbili tatu hapo!!

Hao ni Wanafunzi wa CHuo Kikuu cha Kiislamu - Masjid


WITO: SERIKALI ITABAANAAAAA MWISHO ITAACHIA TU BAADA YA KUONA WATU WENGIN WAKIFA NDIPO WATAKUJA KUKUBALIANA NA MADR.


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 

Kundi la wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini, wakiwa na mabango jana katika hospitali ya taifa, Muhimbili, Dar es Salaam, kushinikiza madaktari waache mgomo.
Kiongozi wa wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya juu Abubakari Assenga (kushoto), akiwa na Katibu wa Jumuia ya Madaktari Tanzania, Edwin Chitange, baada ya maandamano ya wanaharakati hao kufika Muhimbili kushinikiza madaktari kusitisha mgomo
Kiongozi wa wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya Juu, Abubakar Assenga akizungumza na waandishi wa habari baada ya maandamano yao kufika Muhimbili kushinikiza madaktari kuacha mgomo.
Mwanamke aliyekuwa akisubiri kuona mgonjwa wake, Katika hospitali ya Muhimbuli, Dar es Salaam, Helen Thomas, akisoma bango lililoachwa na wanaharakati hao wa vyuo vya elimu ya juu.
Wanaharakati wa vyuo vya elimu ya juu, wakihanikiza baada ya kufika Muhimbili kutaka madaktari waache mgomo

MY TAKE; Hivi Wanaharakati wa MAgamba Vyuo vikuu ni hao tu??

Kiganyi, JF.
Mwanzo - wotepamoja.com

Picha ya Mwisho Kuna Jamaaa ana Pengo Huyu jamaaa ni mwanangu vibaya mno yaaani Ni Teja wa Kutosha Alikua anapiga Debe Mbezi Louis. Anaitwa Jack
 
wadau wa jf haw awanaharakati wamepewa rushwa na kiongozi wao dhaifu mi namwita dhaifu sana coz baada ya kuutubia nchi live amerekodi na kuacha tep,,amekimbilia rwanda haki ya mungu huyu jamaa ni dhaifu
 
bravo: Hongera vijana: Sasa mnahitajika kuandamana tena kumuunga mkono mheshimiwa raisi kwa hotuba yake ya mwisho wa mwezi ambayo kwa sehemu kubwa imezungumzia mgomo wa madaktari na kwaadabisha.

Halafu nyie wanaharakati uchwara wa upinzani msindhani kuw vyuo vikuu ni mali yenu. Watu wa itikadi mbalimbali hususan ccm wamejaa sana vyuoni. Tofauti yao na yenu ni ustaarabu na uwezo wa kupima issues na sio kama nyie mnavyoburuzwa katika mambo msiyoyaelewa hata kama yanadhalilisha historia na utaifa wenu.

du! Wanafunzi wamechoka kinoma, inawezekana walilipwa posho ili waandamane maana dah! Kazi ipo hapo.
 
wanaharakati wa ccm vyuo vikuu wana mapengo inaonekana wanapenda sana ugomvi hawa!

Kiganyi, jf.
mwanzo - wotepamoja.com


mambo magumu pia huenda na kibwagizo, sio kwenye raha tu. Hebu pata kibwagizo toka kwa wadhamini wetu:,,,,,ah ridhiwan, ah ridhiwani street noma kimenuka ridhiwan....ridhiwan, ah ridhiwan ongea na mshua ridhiwan..........ah ridhiwan street noma kimenuka ridhiwan.
 
Back
Top Bottom