PICHA; Wanaharakati wa CCM Elimu Ya Juu Wapinga Mgomo wa Madaktari

Hao wanaharakati wa CCM wanajua kwamba madaktari na raia wengine wanaishi kwa hofu kubwa? Inakuwaje mtu achukuliwe toka katikati ya jiji, afanyiwe unyama wa hali ya juu halafu siku 5 zimepita hakuna hata mtu mmoja amekamatwa?
 
Tanzania ni nchi ambayo haikosi vituko! Mtu huwezi kukaa tu na kuwa bored! Nasema hiki ni kituko kingine kama cha komedi maana mwenye akili ataona moja kwa moja kuwa hao (vijana?) wametoka upande gani.

Nasema hivi kwa sababu nimesoma mabango ambayo wameyashika, sijaona bango hata moja linalohimiza serikali nayo kutimiza wajibu wake wa kuboresha afya nchini! Hilo bango huyo mama alilolishikilia linaonyesha tu kuwa hoja kubwa ya madaktari ni kutaka nyongeza ya mishahara.

Jambo kubwa, na ambalo linawagusa wote la kuboresha huduma za afya, wao haliwahusu. Ndio maana nasema vioja haviishi Tanzania...ze Komedi wapo wengi!
Asenga AbubakarAbout


Subscribe
[h=3]Work and Education[/h]


Employers




College

  • VETA
    Dar es Salaam, Tanzania
    • 1998-2000
      TO GETHER WE CAN



  • Mwalimu Nyerere Memorial Academy
    Class of 2008 · STUDYING B.DEGREE IN POLITICS AND MANAGEMENT OF SOCIOL DEVELOPMENT · DIPLOMA IN ECONOMIC DEVELOPMENT · Dar es Salaam, Tanzania



  • MNMA
    Dar Es Salam, Dar Es Salaam, Tanzania




High School




[h=3]Living[/h]





[h=3]History by Year[/h]


 
Ulianza vizuri lakini sasa hapo UISLAM umeingiaje?

Nakuunga mkono Mkuu. Hoja yeyote ile, hata kama ni sahihi, lakini ikichanganywa na udini, ubaguzi au udhalilishaji wa aina yeyote ile, unaifanya hoja hiyo kuwa DAIFU. Unayeandika hivyo unakuwa hapo hapo unapinga hoja yako. Tafakari!
 
Hakuna mwanafunzi wa chuo kikuu hapo
Hao vijana uoni wao ni duni . wanakurupuka kudandia ndege kwa mbele ikiwa kwenye mwendo. sidhani kama wanajua mambo kwa upeo wa kutosha. wamejengwa na udini zaidi. ndo hawaoni Ridhiwani kumiliki mambo bila vielelezo au justification siyo issue. na watakuambia mnamuonea wivu tu hata kama kaiba benki kuu
 
Huyo Abu UVCCM sasa kwanini na CCM isiende kuwaunga mkono?
Hao wote njaa tu zinawasumbua tu kwani siamini kama ni wanachuo chuo gani hapo wakawa na mawazo mgando kama huo?
Watanzania msitumiwe na wanasiasa uchwara kwa kujididimiza wenyewe
 
Matola asante kwa CV ya mwanaharakati!!!

We shouldn't bother even to discuss a thing about him!!! @#&*%$#@##.....@*&%
 
Picha ya Asenga Abubakar kwenye fbook
Asenga Abubakar.jpg
 
Huyu kijana Asenga ni wakala wa CCM, na anatafuta umaarufu kwa njia yeyote ile (mchumia tumbo) ananiboaga sana nikimuona kwenye vipindi vya 'malumbano ya hoja' ya ITV naacha kusikiliza kipindi
 
Bravo: Hongera vijana: Sasa mnahitajika kuandamana tena kumuunga mkono mheshimiwa Raisi kwa hotuba yake ya mwisho wa mwezi ambayo kwa sehemu kubwa imezungumzia mgomo wa madaktari na kwaadabisha.

Halafu nyie wanaharakati uchwara wa upinzani msindhani kuw vyuo vikuu ni mali yenu. Watu wa itikadi mbalimbali hususan CCM wamejaa sana vyuoni. Tofauti yao na yenu ni ustaarabu na uwezo wa kupima issues na sio kama nyie mnavyoburuzwa katika mambo msiyoyaelewa hata kama yanadhalilisha historia na utaifa wenu.
 
kumbe ni wafunzi wa chuo ccm lumumba hapo sawa kabisa mmemsahau nape nnauye, zomba, riz na william malecela
 
Ukiona umeishiwa maneno muhimu, basi wapongeze vijana waliondamana kupinga mauaji kupitia mgomo wa madaktari. Yeyusha mawazo yako yaliyoganda.
 
Mbona wanafanana na uamsho!
Kumbe hawa ndo wasomi wa CCM?!Kweli nchi hii inaongozwa na Nyani mikia hawa sio wanafunzi ni jumuiya ya uamsho ni kikundi cha waislamu wasiovaa hata nguo za ndani!Tena wachafu au ni wanafunzi wa madrasa?Elimu gani wanafundishwa na ni nani huyo anayewafundisha Boko haramu hawa!Emu waandamane kuelekea mabwe pande usiku!
 
Angalia sura zao hao wanaoitwa wanaharakati. Mimi nadhani hapa kuna usanii uliofanywa na hawa magamba kwani hawaoneshi hata kwa sura kama ni wasomi na wanaharakati, wengine ni mababu na mabibi kabisa. Au ndio ile ya kugawa posho na kugharamia usafiri kama kawaida?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom