PICHA: Vijana wanavyojua kubeba hatari

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,479
2,000
Hawajakosa nauli mzee baba hio mwamba imekamata deiwaka hilo container linaenda kupakuliwa mzigo wapukuaji ni wengi balaa so miamba huwa ina vizia few kilometers away ku secure kibarua ila kuna watu wanasema vijana

Watanzania ni wavivu

#minginetena
Nakubaliana na wewe. Inavyoonekana hao ni makuli, na hapo ni mwendo mdundo mpaka bandari.

Angalia kuna mmojawapo hapo kavaa Reflector.
 
Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
5,392
2,000
Hawajakosa nauli mzee baba hio mwamba imekamata deiwaka hilo container linaenda kupakuliwa mzigo wapukuaji ni wengi balaa so miamba huwa ina vizia few kilometers away ku secure kibarua ila kuna watu wanasema vijana

Watanzania ni wavivu

#minginetena

Ddaaaahhh, basi bwana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom