PICHA: Vijana wanavyojua kubeba hatari

PICHA: Vijana wanavyojua kubeba hatari

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,261
Reaction score
12,661
LOCATION: Dar adjacent to Kisutu Market.

Nadhani walikosa nauli. Ila wameweka maisha yao rehani.

Hawa ndo uwaambie wavae barakoa?

Screenshot_20210223-131807_WhatsApp.jpg
Screenshot_20210223-131820_WhatsApp.jpg
 
Typical wabongo, litakalo tokea hapo lazima wadai watu wameloga au Mungu kapenda!
 
Hawajakosa nauli mzee baba hio miamba imekamata deiwaka hilo container linaenda kupakuliwa mzigo wapukuaji ni wengi balaa so miamba huwa ina vizia few kilometers away ku secure kibarua ila kuna watu wanasema vijana

Watanzania ni wavivu

#minginetena
 
Hapo mwenye mali kama hilo lori lina mzigo, anaweza chomoa pistol yake akidhani wanataka kufungua hilo container. Hii ndio moja ya kubeba hatari?
 
Hapo mwenye mala kama hilo lori lina mzigo, anaweza chomoa pistol yake akidhani wanataka kufungua hilo container.
Kabisa yaani wamebeba risks nyingi mno. Na ajabu ni kwamba likiwapata la kuwapata dereva ndo atabeba msala!
 
sidhani ka wamekosa nauli, hao huwa wanafwataga makontena yanakoelekea kama yana mzigo unaenda shushwa mahali, lengo ikiwa ni kuomba kibarua cha kupakua mzigo na kujipatia ujira

ijapokuwa kwa namna walivyokaa ni hatari -kwa maisha yao
 
Hao ni makuli bana,washusha mizigo,hapo wamewahi kwa sababu kaz ni za kugombea
 
Back
Top Bottom