PICHA: Unadhani mwamba hapa anatoa ahadi gani?

PICHA: Unadhani mwamba hapa anatoa ahadi gani?

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,482
Ahadi nyingi zinamwaga hapa😂, Sio mbaya ukatupia angalau ahadi moja ambayo itasemwa hapa

Screenshot_20250914-095509.png

"Kuna mchongo nausikilizia ukitiki tu nakuchukulia yale mawigi unayoyaona instagramu"
 
Joyce huwezi amini hata kabla sijakuona nilikuwa nimekununulia kiwanja kwenye sayari ya jupiter!! Elon akimaliza project zake kwenye sayari ya mars atatupeleka nikakuonyeshe kiwanja chako ukipapenda tunaishi hukohuko kwenye sayari yetu tuachane na walimwengu.
😂😂

🤝
 
Nitarudi ngoja nitoke mara moja andaa ugali na bamia hela nimeacha mezani hapo hilo bamia usisahau kuweka nyanya chungu na daa chungu pilipili kwa mbali
 
Nitarudi ngoja nitoke mara moja andaa ugali na bamia hela nimeacha mezani hapo hilo bamia usisahau kuweka nyanya chungu na daa chungu pilipili kwa mbali
😂
 
Back
Top Bottom