PICHA : Ulinzi wa Rais wetu uko imara

PICHA : Ulinzi wa Rais wetu uko imara

we jamaa liongo kweli, nimekufatilia unavompiga kama mwenzio!
kama mtambo unazima network zotez mbona kuna scenario kadhaa Raisi anawapigia simu mawaziri ama anamuamrisha waziri wa Maji amipigie simu Katibu mkuu wa wizara na maongezi yanawekwa loud speaker!!!

wewe ni pompoma.. Kiazi!!!
Yuko sahihi,izo scenario huoni mara nyingi akitumia simu za wananchi zinakuwa hazina mtandao(Mpaka siku moja alikuwa anampigia katibu mkuu wizara ya maji,simu za wengine wote akasema hazina mtandao ikabidi jamaa wa suti ndo wampe simu yao).
 
haiwezi zuia risasi kama zikiwa nyingi,hata ya trump haiwezi, hakuna gari yenye uwezo wa kuzuia risasi nyingi on the same direction ,pili kuna bunduki niliiona youtube risasi yake ikishafika sehemu inakua bomu inalipuka
Upige risasi nyingi on same direction walinzi watakuwa wanapiga nyeto au?
 
Acha upompoma basi.
mara ngapi tumeshuhudia raisi akiongea na simu, ama akimuarisha waziri Fulani ampigie simu katibu mkuu wa wizara maongezi yanasikika kwenye speaker. Hizo simu zinazozimwa ni zipi???
We nae sijui akili yako ikoje? Kwa wkt huo sim zinazofanya kazi ni za hao wavaa suti au sim ambayo itakuwa connected na huo mfumo, na kwa kawaida hilo Gari likifika kuna km sanduku cha silver kinawashwa network inakuwa disabled kwa namna fulani, sasa ww povu linakutoka
 
Kwa ajili ya kupigia simu CRDB au sometimes pia inamwaga mtifuano ila inatuma salamu kulingana na skils index apostrol machimboni kuleta maji ya moto na baridi ili kutogandisha mafuta kwny mifupa.

Nimesimama.sehem nacheka peke yangu...inabid niangalia watu wasinione..jamaa umeweza kunifurahisha jaman..nimeisoma mara 4 sion connection😅😅😅😅😅
 
Boss me huwa sifatilii izo dhiara za mkulu.... lakini mimi ni moja ya watu walio simama kwenye lile gorofa jeupe pale... na nafanya kazi pale... sijaona ulinzi wowote maeneo yale....
watu wanakuza sana mambo, Alipokuja Obama nikiwa Airtel morroco HQ, msafara wake ukitoka ubalozi wa U. S...... Ile mwai kibaki road then to mwenge on the way to mitambo ya umeme ubungo kule. Tumejazana juu kule staffs na ni sehemu rahisi akikaa mdunguaji, lakini akuwaako mtu yyte wa usalama. Technology imeendelea sana, Field agents are nothing compare to the analysis agents
 
Yeah upo sahihi
 
Mkuu wabongo tulivyomasnitch,wote mmejazana juu afu mtu mmoja utoe rifle uanze kuangalia kwenye darubini kupima shabaha,ubonyeze trigger wanakuangalia tu,au ndiyo ule msemo wa wanaume wa Dar.
 
Unabisha nini mkuu? Uo ulinzi ni wa kufanya wananchi wasimsogelee mkulu.... lkn sio kwa kuzuia mtu aliepanga kumdhuru mkulu
Kweli kabisa mfano sniper akijificha kwenye hayo magorofa ya uyole watamuonaje au waliyakagua
 
Protocal imezingatiwa tu huo si ulinzi mkali. Na nafkiri rais wetu haitaji ulinzi mkali ila wenye uangalifu.
Tuko mil 55+ sasa unataka prezidaa apigwe mateke na kichaa km Mwinyi miaka ile?
Haiwezekani
 
Back
Top Bottom