PICHA : Ulinzi wa Rais wetu uko imara

PICHA : Ulinzi wa Rais wetu uko imara

Hapa Duniani ulinzi imara ni wa rais wa marekani tu, hawa wengine wanaigiza tu, labda papa naye ana kaulinzi ka kakubwa japo si kama wa rais wa marekani. Huu ulinzi wa rais wetu utakuwa imara hivi hivi hata akienda nchi za nje? Wamerekani wao wanaongeza ulinzi imara zaidi kwa rais wao aendapo nje ya nchi yao hasa Afrika na badhi ya nchi za Asia. Wamarekani mpaka wanakera kwa ulinzi wa rais wao awapo nchi ya kigeni wanaendelea kumlinda wao angani, ardhini, na majini. Wana dharau vyombo vya ulinzi na usalama hasa Afrika.
 
Ndio, network ya sim inakata ht km kuna mitandao hapo wanadiable kwa mda flani utaona km network haiko vizuri, taarifa anazopewa ni za hapo za kiserikali lkn

we jamaa liongo kweli, nimekufatilia unavompiga kama mwenzio!
kama mtambo unazima network zotez mbona kuna scenario kadhaa Raisi anawapigia simu mawaziri ama anamuamrisha waziri wa Maji amipigie simu Katibu mkuu wa wizara na maongezi yanawekwa loud speaker!!!

wewe ni pompoma.. Kiazi!!!
 
Unaweza kublock simu zote za hilo eneo. Na vitu kibao tafuta uzi wake upo

Acha upompoma basi.
mara ngapi tumeshuhudia raisi akiongea na simu, ama akimuarisha waziri Fulani ampigie simu katibu mkuu wa wizara maongezi yanasikika kwenye speaker. Hizo simu zinazozimwa ni zipi???
 
Gari ni Bullet Proof si mchezo...... Urais raha sana
haiwezi zuia risasi kama zikiwa nyingi,hata ya trump haiwezi, hakuna gari yenye uwezo wa kuzuia risasi nyingi on the same direction ,pili kuna bunduki niliiona youtube risasi yake ikishafika sehemu inakua bomu inalipuka
 
Acha upompoma basi.
mara ngapi tumeshuhudia raisi akiongea na simu, ama akimuarisha waziri Fulani ampigie simu katibu mkuu wa wizara maongezi yanasikika kwenye speaker. Hizo simu zinazozimwa ni zipi???
Mayb simu yake ni satelite phone
 
Boss me huwa sifatilii izo dhiara za mkulu.... lakini mimi ni moja ya watu walio simama kwenye lile gorofa jeupe pale... na nafanya kazi pale... sijaona ulinzi wowote maeneo yale....
Hapo sejem ulisimama peke yako au ulikua na watu wengine
 
Back
Top Bottom