PICHA : Ulinzi wa Rais wetu uko imara

PICHA : Ulinzi wa Rais wetu uko imara

Hizo zote mbwembwe tu kuna scene moja ikifika hata hao walinzi waitane na wale waliochukua likizo waje wamzunguke hakuna kitu watafanya.....

Hiyo siku inakuja kwake na kwako!
 
Nimependa makoti ya hao jamaa picha ya kwanza yanapatikana wapi.
 
Hizo zote mbwembwe tu kuna scene moja ikifika hata hao walinzi waitane na wale waliochukua likizo waje wamzunguke hakuna kitu watafanya.....

Hiyo siku inakuja kwake na kwako!
Itafika lini mkuu?
 
Kwenye hiyo picha rais anayoangalia maparachichi kushoto kuna kibao kimeandikwa Emergency Exit Door kisha kwa chini wakamalizia kwa kiswahili "Kutoka wakati wazarura".
 
Nina hakika wanakua wamesha 'secure the area' na kuzima any possible threat
Io picha ni alikua uyole... na mimi ndo ninapo ishi na nilikuepo apo... kwenye majengo yale hakuna ulinzi
 
Io picha ni alikua uyole... na mimi ndo ninapo ishi na nilikuepo apo... kwenye majengo yale hakuna ulinzi
Kawadanganye ambao hawajawahi kuhudguria mahari ambapo mkuru yupo, labda akili ilihamia kwenye kumuangalia mkulu, kwa taarifa yako hapo kila kitu kimepimwa na maeneo yote yana ulinzi mpaka huko kwenye magorofa kuna walinzi, na hayo matunda mpk Maji yanapitishwa mashine ya kuscan hatari
 
Boss me huwa sifatilii izo dhiara za mkulu.... lakini mimi ni moja ya watu walio simama kwenye lile gorofa jeupe pale... na nafanya kazi pale... sijaona ulinzi wowote maeneo yale....
 
Siku za karibuni mbona ulinzi wa Mukulu mmeuongelea sana kuna nini?
 
Back
Top Bottom