PICHA : Ulinzi wa Rais wetu uko imara

PICHA : Ulinzi wa Rais wetu uko imara

Nina hakika wanakua wamesha 'secure the area' na kuzima any possible threat
Ni kweli wanakuwa wameshasecure, sio tu kusecure sehem ambayo mkulu atafanyia mkutano kuna kuwa na ulinzi siku moja kabla, hawa jamaa wako wengi na ratiba ya mkulu imepangwa tayali, fuatilia siku ukisikia mkulu atakuwa mahali flani fuatilia hao jamaa wavaa suti na makirikiri wanafika siku moja kabla na kuweka mambo yao
 
Boss me huwa sifatilii izo dhiara za mkulu.... lakini mimi ni moja ya watu walio simama kwenye lile gorofa jeupe pale... na nafanya kazi pale... sijaona ulinzi wowote maeneo yale....
Sio kwa mkulu huyu, jipe task utakuja na mrejesho, more than five times nimefuatilia hawa jamaa wanakuwepo, na wakishaweka ile kamba yao kama ni ndani ya ofisi hawaruhusu ht kuingia na chupa ya maji, na kwa taarifa yako wkt mwingine wakiwa na mashaka mpk mbwa wanapitisha pitisha kunusa kabla mkulu hajafika then ndio anafika lkn inakuwa mapema sn
 
Me naongelea mtu akiwa na sniper rifle kwenye lile jengo bovu pale ana mtungua mkulu
 
Mtu akikaa na sniper rifle kwenye lile gorofa refu.. ana tungua kichwa cha mkulu vizuri tu
Mkuu mimi mawazo yangu yapo tofauti na yako, nimeona neno KIPUNJI AVOCADO nika-google kumbe hii kampuni pamoja na pacjage nzuri ya bidhaa zao kumbe hawana website....naomba msaada kama ipo nipeni link!
 
Ule mgari wenye ma.antena una kazi gani?
Pale kuna gari moja wapo lina mfumo unasaidia kupata taarifa zote nchi nzima na kuna watu wanarune system, wakifika tu systems ikiwa on mpk network inakata inafanya kazi ya kwako ndio maana mkulu anapohutubila utaona anapewa vimemo kama kuna taarifa imepatikana wkt anahutubia inayohusiana na anachozungumzia kwa wkt huo,
 
Kwamba eneo lile network inazima au? Em nieleweshe ndugu, na taarifa anayopewa mkuu ni ya eneo lile au nchi nzima
 
Me naongelea mtu akiwa na sniper rifle kwenye lile jengo bovu pale ana mtungua mkulu
Inawezekana lkn sio rahisi kiivyo, hata hao wavaa masuti wanayajua yt hayo, sidhani km watakuwa wazembe kiasi hicho, amini popote mkulu anapokuwepo km kuna majengo marefu hao wavaa masuti ma ndugu zao makirikiri wanakuwepo mapema sn, na hata km anaposimama km kuna gorofa binafsi la mtu hao jamaa wanalazimisha mpk wanaingia madirishani mda anaokuwepo hapo,
 
tuko imara,standard procedure lazima highrise yeyote oppossite na mahali pa shughuli iwe secured mda wote wa shughuli
 
Kwamba eneo lile network inazima au? Em nieleweshe ndugu, na taarifa anayopewa mkuu ni ya eneo lile au nchi nzima
Ndio, network ya sim inakata ht km kuna mitandao hapo wanadiable kwa mda flani utaona km network haiko vizuri, taarifa anazopewa ni za hapo za kiserikali lkn
 
Ndio, network ya sim inakata ht km kuna mitandao hapo wanadiable kwa mda flani utaona km network haiko vizuri, taarifa anazopewa ni za hapo za kiserikali lkn
Em nipe jina la huo mtambo nijifunze kidogo, hizo taarifa zinatoka kwanan? Wakat kunakua hamna network eneo hilo?
 
Back
Top Bottom