Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

Nilijua kelele za BAVICHA ni ngoma ya watoto tu wala haitakaa ikeshe.

Wako wapi sasa? Wheelchairs zingewahusu leo.

Pelekeni wale wanywa viroba wenu muone
Lumumba team mmeshawahi waza kwa nini mnataka BAVICHA wapambane na jeshi lao la ulinzi ?! Ningewaona wa maana kuwalinganisha BAVICHA na UVCCM !! Siyo askari aliyejihami na kila aina ya silaha na wananchi wa kawaida wasio na hata fimbo
 
Hizi propaganda ni balaa,hizo picha mbona sio za leo wala jana?
 
ulinzi huu mkali si kwasababu ya bavicha bali wenyewe humo ccm kunachemka
 
Mbwembe tu, hakuna ulinzi wowote hapo, wakiingia vijana wa Abu Omar al-Baghdadi kila mtu atatafuta pa kutokea!
 
Kweli nimeamini Bavicha wana nguvu sana. Yaani wametetemesha geshi la polishi!!
 
Sababu ya kuvaa Miwani myeusi ni kujikinga na UV au mwanga wa jua ambao unaharibu macho, siyo kwa Askari wetu tu hata wewe unashauriwa kuvaa miwani myeusi kila wakati uwapo Juani!
Hiyo ni moja wapo tu ya sababu ya kuvaa Miwani myeusi kwa walinzi na haina maana eti ukitoa hiyo faida ya kuzuwia uv light kuvaa hizo Miwani basi hakuna faida nyingine,

Umewahi kuona hata ma body guard wa viongozi wakivaa hizo miwani hata kama hakuna Jua? Au wakiwa ndani ya ukumbi wa mikutano? Lengo la pili ni kama nilivyoeleza kwenye comment yangu huko juu.
 
Hakuna sababu wala faida nyingine yoyote zaidi ya hiyo kama ni miwani mwyeusi ya kawaida, na kama una picha ambayo wamevaa miwani mwyeusi ndani au usiku unaweza kuiweka hapa!
 
Hivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Kile ni chama tawala ukizingatia serikali yote ipo pale vitu vingine havikwepeki Dada yangu, let it go on.

My take to u is.
One day u will make wonders without first lady but with first....... (Mume wa Rais Mwanamke anaitwaje)·
 
Back
Top Bottom