Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma


JKT kwenye kwata la bunduki tuliambiwa risasi zikikuishia wewe na adui nae akiishiwa ukiwa vitani unachomoa singe - sasa kwa hawa jamaa naona badala ya singe ni hicho kisu. Ila nilipendekeza kwa afande kuwa karate iwekwe kwenye programme kwani endapo singe zimevunjuka au kupokonywa na adui basi ni karate kwenda mbele; afande alionekana kuogopa kidogo kwani zingetumika kabla ya kumaliza JKT.
 
Kwa tukio kama hilo, hili jeshi halilipwi?
 
Back
Top Bottom