odinyo
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 429
- 109
ni vizuri kwani inakuchanganya kwa kutofahamu kwa urahisi wapi muelekeo wa macho yake.hivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi
ni vizuri kwani inakuchanganya kwa kutofahamu kwa urahisi wapi muelekeo wa macho yake.hivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi
Na mashine ya kuchomelea pia aliyobeba.Umetishwa na miwani ya kuchomelea mageiti
Nenda kajaribu kumvamia kwanza tujue.Kuna mtu kauliza hii miwani ya kuchomelea mbona aiwasaidii pindi majambazi yamevamia vituo
Fanya Fujo UoneTafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU

Field Force UnitTafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Jibu zuri...nimefunguka.hapo kuna raisi...so lazima ulinzi uimarishwe...usidhani kuwa cheo cha uraisi amekivua eti kwa sababu ni masuala ya chama
FUNGUA FANTA UNYWETafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Tatizo ni hofu na sio haki! Wanajua wazi kabisa wamekoKwahiyo hii nchi ni ya wenye madaraka?
Msihofu,HAKUNA MATIBABU AU DAWA KAMA HAKUNA UGONJWA, HAYA LAZIMA YATIMIE ILI BONGO ZA WATANZANIA ZIPATE UGONJWA NA DAWA PAMOJA NA KINGA ITAKUWA TAYARI 2020 KWANI KILA ALIYEUGUA UGONJWA HUU ATAKIMBILIA SANDUKU LA KURA KUCHUKUA DAWA NA KINGAHivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Lumumba team mmeshawahi waza kwa nini mnataka BAVICHA wapambane na jeshi lao la ulinzi ?! Ningewaona wa maana kuwalinganisha BAVICHA na UVCCM !! Siyo askari aliyejihami na kila aina ya silaha na wananchi wa kawaida wasio na hata fimbo
Hakuna makamanda WangejilindaHivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Wewe acha kujifanya unajua kila kitu,hutaki kukubali basi endelea tu kulala usingizi wa pono na maisha yako ya kukariri, huna ujualo kuhusu security personnel kuvaa Miwani myeusi.Hakuna sababu wala faida nyingine yoyote zaidi ya hiyo kama ni miwani mwyeusi ya kawaida, na kama una picha ambayo wamevaa miwani mwyeusi ndani au usiku unaweza kuiweka hapa!
Wewe ni mwehu hujui kwamba mambo mengi tunachukua toka kwa waliendelea zaidi yetu hata hizo bunduki hazijatengenezwa Tz na hiyo miwani inaletwa maalumu kwaajili yao wala sio ile ya kariakoo.Mi vema ukatafuta uhakika wa jambo kuliko kudanganya watuWanaiga nchi za wenzetu,wakati wenzetu wanavaa zikiwa na kifaa maalum chenye kazi special
Niambie ni kikosi kipi cha Ffu kilivamiwa na majambazi hapa TzMbona majambazi huvamia vituo vya polisi na kuua hiyo miwani huwa imevaliwa kiunoni?
Wewe acha kujifanya unajua kila kitu,hutaki kukubali basi endelea tu kulala usingizi wa pono na maisha yako ya kukariri, huna ujualo kuhusu security personnel kuvaa Miwani myeusi.
Madam kumbe nawe umo humu. Good!Hivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.