Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Wao wana jeshi, sisi tuna Mungu.
umenichekesha sana looohh Rais anapohudhuria kusanyiko lolote duniani kote hulindwaaaa! majipu alotumbua si mchezo
Wao wana jeshi, sisi tuna Mungu.
Swaggahivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi
Field Force UnitTafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
safWao wana jeshi, sisi tuna Mungu.
Hivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Tafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
nahisi wewe ndio mwenye matizo kama ni hivyo kulinda raia na mali zao vipi walivyozuia mkutano wa chademaKishaija!! Ww sio mzima kichwani. Jeshi la polisi halina chama, kazi yao ni kulinda raia na mali zao nasi mkutano wa ccm..
Mbona majambazi huvamia vituo vya polisi na kuua hiyo miwani huwa imevaliwa kiunoni?Hiyo sio miwani, ni darubini zinazowaletea taarifa za kiintelijensia!
Hicho ndio chamadola kinavyo amini na kinavyotenda. Bila upinzani makini unaungwa mkono na wananchi hata kama ni wachache tumekwisha.Kwahiyo hii nchi ni ya wenye madaraka?
Thanks indeed BAVICHA for ua credibility and intelligence loving the style of playing with mind of poor Thinkers.
Tafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
TUJIULIZEHivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Badass Bongo? Uchwara mtupu.badass appearence mainly just for show
Field force UchwaraField force unity(FFU),
Fanya fujo ukaisome!Tafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Miwani inauzwa 1500 na wamachinga mitaa.Wanaiga nchi za wenzetu,wakati wenzetu wanavaa zikiwa na kifaa maalum chenye kazi special
Kwani kitwanga hajaacha kutwanga hapo grocery?Ni wapi waliposema ni CCM?
Akili yako umeisahau grocery?