Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

hivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi
Ni kwaajili ya kuficha ili usione kama anakuona,

Coz kama hajavaa miwani nyeusi kuna sometimes unaweza kumuona kama katizama pembeni kidogo nawe ukatumia huo mwanya kutaka kufanya uhuni fulani,

Lakini akivaa miwani nyeusi hutoweza kujua kama anakuangalia wewe au anatizama kwingine.
 
Hivi Kwanini Kofia Zao Zimeandikwa POLICE... Au wamekodiwa Kutoka Uingereza
 
Back
Top Bottom