Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

Kwanza hizo picha sio dodoma tuache kupotosha umma, kama uliwahi kufika Butiama hapo ni mwitongo kwa Nyerere.
 
Nilijua kelele za BAVICHA ni ngoma ya watoto tu wala haitakaa ikeshe.

Wako wapi sasa? Wheelchairs zingewahusu leo.
 
hivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi


Sababu ya kuvaa Miwani myeusi ni kujikinga na UV au mwanga wa jua ambao unaharibu macho, siyo kwa Askari wetu tu hata wewe unashauriwa kuvaa miwani myeusi kila wakati uwapo Juani!
 
ha ha hii imeniwazisha "kinga ni bora kuliko tiba"
 
Kuna mtu kauliza hii miwani ya kuchomelea mbona aiwasaidii pindi majambazi yamevamia vituo
 
1469259377868.jpg
 
Back
Top Bottom