Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

Ni kwaajili ya kuficha ili usione kama anakuona,

Coz kama hajavaa miwani nyeusi kuna sometimes unaweza kumuona kama katizama pembeni kidogo nawe ukatumia huo mwanya kutaka kufanya uhuni fulani,

Lakini akivaa miwani nyeusi hutoweza kujua kama anakuangalia wewe au anatizama kwingine.
Miwani wanayatumia kwa kuzuia jua kali. Na si vinginevyo.
 
Hiyo sio miwani, ni darubini zinazowaletea taarifa za kiintelijensia!
Miwani uchwara unayouzwa na wamachinga kwa 1500,bei ya jioni.

Hakuna vifaa vya kiintelijinsia hapo, wanataka kuonekana kama kwenye movie za Arnold shwaziniga (komando joni), full maigizo.

Picha linaendelea...
 
Kishaija!! Ww sio mzima kichwani. Jeshi la polisi halina chama, kazi yao ni kulinda raia na mali zao nasi mkutano wa ccm..
Wacha kujitoa ufahamu wewe ,Sio katika nchi hii and it will never be. Itabaki kwenye maandishi lakini in reality ni kwa masilahi ya ccm.
 
Back
Top Bottom