Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

Hakika huu ndiyo ukweli wa mambo! Ukichukulia uwingi wa askari, magari ya washa washa, malori na karandinga za polisi zinazo randaranda mjini Dodoma hivi sasa unaweza kudhani nchi iko katika vita!

Jambo hili halikubaliki hata kidogo kwa ubadilifu wa fedha chache za sisi walipa kodi kuzitumia hovyo namna hii!

Sina hakika kama lengo la BAVICHA lilikuwa kuleta hasara kubwa namna hii kwa Taifa! Nashauri wakati mwingine BAVICHA watumie mbinu mbadala kuokoa fedha kidogo ili zitumike kwa maendeleo ya umma!
 
Ayseee...jamaa wanalindwa hatariii..!! Kweli hii nchi sasa ni mali ya chama
 
Mimi nabisha kwa hoja sasa wewe bisha kwa hoja pia, Miwani myeusi ya kawaida kazi yake ni kulinda macho dhidi ya UV light au Mwanga wa Jua, sasa kama wewe unataka kupinga njoo na sababu yako na siyo kuandika tu bila ya kiambatanisho!
Mwenyewe unajiona eti umetoa hoja eeeh!! Nilikua upande wako sana wanapokushambulia humu ila leo ndio nimeujua upuuzi wako,

Kupigizana kelele na wewe kiumbe usie na uelewa ni kupoteza time na energy yangu tu,unafikiri miwani myeusi zote kazi yake ni kuzuwia uv light tuu??!! endelea na kukariri kwako,naomba niishie hapa tafuta mwingine wa kupigizana nae kelele.
 
Hawa polisi wetu ni bure kabisa, tena legelege na goigoi wa hali ya juu, Wanatuonyesha mikwara ya miwani nyeusi na silaha walizovaa, lakini ukivamiwa na majambazi usiku waite uone kama watathubutu kuja. Hawa hawana maana ya kuwa nao, ni heri kuwa na mbwa aliye hai kuliko kuwa na simba aliyekufa.
 
1469217131555-jpg.369484

Naona Kuna Mageuzi ndani ya Polisi. Accessories zimeongezwa.
Zipi hizo?..
 
KUKABLI UJAMBAZ HAWAJUAG ILA KUWAKABIL UKAWA N SAWA NA KUZMA MSHUMAA
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hapa si bure yumkini andaenda kuchaguliwa IGP ngoja kesho tujue kama ni ratiba ziliingiliana!
 
Hakuna sababu wala faida nyingine yoyote zaidi ya hiyo kama ni miwani mwyeusi ya kawaida, na kama una picha ambayo wamevaa miwani mwyeusi ndani au usiku unaweza kuiweka hapa!
Nnchofahamu izo miwan n kuzuia mwanga machon, nyngne zpo na uwezo wa ku-scan,kupga pcha na kurekod matukio!
pia zpo connectd na satelite!
 
Mimi nabisha kwa hoja sasa wewe bisha kwa hoja pia, Miwani myeusi ya kawaida kazi yake ni kulinda macho dhidi ya UV light au Mwanga wa Jua, sasa kama wewe unataka kupinga njoo na sababu yako na siyo kuandika tu bila ya kiambatanisho!
Ata zle miwani ziliingia TZ zna card reader unaplay audio ukiwa umevaa hukuzion au kusikia?
Izo n maalum kwa usalama co km za Karume na k. Koo
 
hivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi
Ile sio miwani ya kununua kwenye kapu kama ya walinzi uchwara wa chadema
Miwani ile ina uwezo wa kuzuia bomu la machozi,inaona usiku kwa umbali mrefu na ina uwezo wa kuona adui kaficha nini na kumpiga kirungu fasta
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom