Jini mahaba
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 151
- 39
hivi ndivyo familia zetu zile za tatu katika chi ya tatu zilivyomaliza sikuku ya leo kisha watoto wakapewa shilingi 500 kwenda vibanda vya sinema za kihindi uswahili kwa wale tuliokulia vijijini kama mimi ndio unapewa shilingi mia mbili ukanunue juice aina ya SUPA DIPU...
AMANI KWENU WATANZANIA WOTE AMBAO BADO MNAISHI KATIKA MAISHA KAMA HAYO SERIKALI MAKINI YA CCM INAELEWA MATATIZO YENU NA MPAKA KUFIKIA 2025 KIWANGO CHA MAISHA KITAKUA BORA ZAIDI::
AMANI KWENU WATANZANIA WOTE AMBAO BADO MNAISHI KATIKA MAISHA KAMA HAYO SERIKALI MAKINI YA CCM INAELEWA MATATIZO YENU NA MPAKA KUFIKIA 2025 KIWANGO CHA MAISHA KITAKUA BORA ZAIDI::