Hana hata nuru usoni jamani..Yaani hana raha kabisaa..... nahisi alishajuta sana siku aliyotolewa posa....
Mawazo yako yamelingana na yangu mkuuSijui ni mawazo yangu au ni generalization inaonekana jamaa anampenda mama kuliko wife...
Nilitaka kusema hivoNi kweli. Lakini picha ingenogaga kama men angekaa kati kati yao.
Ni maganda tafadhali
Mkuu usijefikiri ni Chadema tu. Hili ni tatizo la vijana wengi wa kitanzania. Eti kwa kuwa tunatofautiana na mtu tunaamua kumchafua. Haikubaliki hata kidogo. Kuhoji PhD halali ya JPM eti kwa sababu hatukubaliani nae kwenye baadhi ya mambo ni uwendawazimu. Nakubalina na wewe ila naongeza kuwa vijana inabidi tubadilike.Aibu ya wanafiki chadema hii
Namuheshimu sana mtu aliepambana na kuipata PhD. Ni mtu mpambanaji, mvumilivu na mstahimilivu. Nawashangaa sana wanaohoji shule ya mtu wanaejua kasomea wapi.Sijaanzisha mjadala kwasababu hii nimeanzisha kwasababu 2009 kuna vijana walikuwa primary now ni watu wazima wamo humu. But PHD si lele mama maliza PHD yako kwanza then uje uongee ya wenzako.
Kwani ukoo wa udsm una chata kwenye paji la uso?Ukiniambia Tundu Lissu, Silinde, Mdee, Prof. Mkandala, Prof. Safari, Prof. Ndalichako, Prof. Killian, Prof. Mwandosya, Prof. Luhanga, Prof. Anangisye, Prof. Kabudi, Dr. Kahangwa, Dr. Bashiru, Dr. Jesse, Dr. Onesmo Kyauke, Lowassa, Matiko, Mwikwabe, Maalimu Seif, Duni Haji, Prof. Mkumbo, Zitto wamesoma UDSM nakuelewa, lakini huyu sielewi. Mbona hafanani na 'ukoo' wa UDSM?
duhh kumbe siku hizi picha ndo vyeti???????? kwahiyo hapo ww umeona vyeti sjui aliye tuloga ni naniTunataka na vyeti vya Mbowe hapa.
Fungulia uzi, usidandie treni kwa mbeleTunataka na vyeti vya Mbowe hapa.
Sawa mkuu, kumbe Ph D ya korosho??
Tulia hivyo hivyo sindano imegusa mfupa naona ulivyokunja uso na kung'ata meno hahahaaaaaaaaa.Tunataka na vyeti vya Mbowe hapa.
hahahahaha uh ngoja nile chai hakuna la maana hapaNaogopa hata kuchangia kwa sababu ninaweza kutoweka kama yule personal assistant wa Mbowe.
hana vyeti na anamuendesha kwelikweli huyu phd wako hahahahaTunataka na vyeti vya Mbowe hapa.
ukoo wa UDSM? Acha kujidharirisha kwa huo unoko.Ukiniambia Tundu Lissu, Silinde, Mdee, Prof. Mkandala, Prof. Safari, Prof. Ndalichako, Prof. Killian, Prof. Mwandosya, Prof. Luhanga, Prof. Anangisye, Prof. Kabudi, Dr. Kahangwa, Dr. Bashiru, Dr. Jesse, Dr. Onesmo Kyauke, Lowassa, Matiko, Mwikwabe, Maalimu Seif, Duni Haji, Prof. Mkumbo, Zitto wamesoma UDSM nakuelewa, lakini huyu sielewi. Mbona hafanani na 'ukoo' wa UDSM?