Picha: Siku ambayo Rais Magufuli alipata PHD yake akiwa waziri

Mama ni zaidi ya mke!!!

Hivi kama mke wa Rais ni First Lady mama wa Rais anaitwaje?

mama-magufuli-jpg.454465

mama mzaa chema!

iweke kwa kiingereza sasa
 
Mtu alipata Phd akiwa mbunge na waziri,sina haja ya kuuliza kama alichukua likizo ya Uwaziri na alikuwa halipwi!

Alipoula akatangaza mtu ukienda kusoma hamna kulipwa mshahara na ukirudi unaomba kazi upya,mtatusaidia waimba mapambio hiyoPhd yake aliisoma kwa miaka mingapi!!
 
I always remain with a big question mark on the soundness and credibility of academic credentials conferred on persons in high positions in the national hierarchy of a third world country like Tz. I've no problem with the honorary stuff. It's interesting that we've got lots of such folks once becoming ministers or deputy ministers you start hearing they are registered for degree courses doctorate being the most popular.
 
Mtu alipata Phd akiwa mbunge na waziri,sina haja ya kuuliza kama alichukua likizo ya Uwaziri na alikuwa halipwi!

Alipoula akatangaza mtu ukienda kusoma hamna kulipwa mshahara na ukirudi unaomba kazi upya,mtatusaidia waimba mapambio hiyoPhd yake aliisoma kwa miaka mingapi!!

Unaambiwa mwenye shibe hawezi kukuelewa ukimwambia unaumwa njaa, ni mpaka imkute
 
Ukiniambia Tundu Lissu, Silinde, Mdee, Prof. Mkandala, Prof. Safari, Prof. Ndalichako, Prof. Killian, Prof. Mwandosya, Prof. Luhanga, Prof. Anangisye, Prof. Kabudi, Dr. Kahangwa, Dr. Bashiru, Dr. Jesse, Dr. Onesmo Kyauke, Lowassa, Matiko, Mwikwabe, Maalimu Seif, Duni Haji, Prof. Mkumbo, Zitto wamesoma UDSM nakuelewa, lakini huyu sielewi. Mbona hafanani na 'ukoo' wa UDSM?
 
Sijui ni mawazo yangu au ni generalization inaonekana jamaa anampenda mama kuliko wife...
''Aint no woman who can take ma mama place''
''There is no way i can pay you back but my plan is to show you that i understand, your appreciated''
Huyu anayesema maneno hayo juu ni muhuni wakufa mtuu, Thug life yote kaishi lakini alibend low kwa mama yake. R.I.P Tupac.
Usijaribu kulinganisha mama mzazi na vitu vingine. She is quasi god, if you make her regret utaona cha moto.
 
Sijui ni mawazo yangu au ni generalization inaonekana jamaa anampenda mama kuliko wife...
Mkuu mama hata uumwe vp hawezi kukutenga kwa sababu ni mwanae kakubeba miezi 9 kwa hiyo anajua uchungu wake na akifa huwezi pata mama mwingine tena duniani ILA wife ukipatwa na majanga tu anaweza kukukimbia akaolewa sehemu nyingine na hata akifa unaweza oa mwingine na akakufariji ukaishi kwa amani na kumsahau wa mwanzo. MTOTO KWA MAMA HAKUI, NANI KAMA MAMA.
 
Mama ndio kila kitu
 
Back
Top Bottom