Picha: Siku ambayo Rais Magufuli alipata PHD yake akiwa waziri

Aiseee safi sana! mie huwa napenda sana pale wanavyosindikizwa na matarumbeta kwenda kutunukiwa PHd siku ya mahafali
 
Aibu ya wanafiki chadema hii
Mkuu usijefikiri ni Chadema tu. Hili ni tatizo la vijana wengi wa kitanzania. Eti kwa kuwa tunatofautiana na mtu tunaamua kumchafua. Haikubaliki hata kidogo. Kuhoji PhD halali ya JPM eti kwa sababu hatukubaliani nae kwenye baadhi ya mambo ni uwendawazimu. Nakubalina na wewe ila naongeza kuwa vijana inabidi tubadilike.
 
Sijaanzisha mjadala kwasababu hii nimeanzisha kwasababu 2009 kuna vijana walikuwa primary now ni watu wazima wamo humu. But PHD si lele mama maliza PHD yako kwanza then uje uongee ya wenzako.
Namuheshimu sana mtu aliepambana na kuipata PhD. Ni mtu mpambanaji, mvumilivu na mstahimilivu. Nawashangaa sana wanaohoji shule ya mtu wanaejua kasomea wapi.
 
Ukiniambia Tundu Lissu, Silinde, Mdee, Prof. Mkandala, Prof. Safari, Prof. Ndalichako, Prof. Killian, Prof. Mwandosya, Prof. Luhanga, Prof. Anangisye, Prof. Kabudi, Dr. Kahangwa, Dr. Bashiru, Dr. Jesse, Dr. Onesmo Kyauke, Lowassa, Matiko, Mwikwabe, Maalimu Seif, Duni Haji, Prof. Mkumbo, Zitto wamesoma UDSM nakuelewa, lakini huyu sielewi. Mbona hafanani na 'ukoo' wa UDSM?
Kwani ukoo wa udsm una chata kwenye paji la uso?
 
Ukiniambia Tundu Lissu, Silinde, Mdee, Prof. Mkandala, Prof. Safari, Prof. Ndalichako, Prof. Killian, Prof. Mwandosya, Prof. Luhanga, Prof. Anangisye, Prof. Kabudi, Dr. Kahangwa, Dr. Bashiru, Dr. Jesse, Dr. Onesmo Kyauke, Lowassa, Matiko, Mwikwabe, Maalimu Seif, Duni Haji, Prof. Mkumbo, Zitto wamesoma UDSM nakuelewa, lakini huyu sielewi. Mbona hafanani na 'ukoo' wa UDSM?
ukoo wa UDSM? Acha kujidharirisha kwa huo unoko.
 
Back
Top Bottom